Posts in

Archives


Sehemu nzuri ya kuwepo online ni kuwasaidia wateja wangu kufikia malengo yao.Ingawa wanawake wengi wamekuwa wakija kwangu ili kuuliza namna ya kupungua uzito bila ya kutumia madawa yanayozuru afya zao …

0 86

Mapenzi ya movie ni haya: mwanaume anamuona mwanamke mzuri na  anavutia  anapita mbele yake , halafu anampenda na kuwa naye kwa haraka kama hivyo. Na baadae wanaoana.

0 64

Glass   ni nusu au imejaa kabisa? Mfano unaonyesha kitu fulani ambacho mara nyingi  tunaona matukio  ya vitu  badala ya kitu kamili kinachotokea.Kama inanyesha siku za likizo,  unaweza kujisikia vibaya kwa …

0 67

Baada ya kuangushwa na mahusiano ya kwanza mara tu ulipokuwa unaanza , inaonekana  unahitaji mwenza  bora wa kudumu nae, umerudishwa kwenye hilo giza  na kufikiria kuwa  kila mtu atakuvunja moyo

0 43

Kila mtu yuko vitani. Na ni ngumu karibu muda wote. Kushindwa, kukata tamaa, kuchoka… nyakati zote hizi ni ngumu na huondoa hamu ya maisha yetu.

0 84

Mara nyingi unajikuta unawaza vibaya? Inaweza kuwa ni vigumu  kushughulikia  mawazo negative muda wote- unapokuwa kazini, unapokuwa nyumbani,  unapokuwa na rafiki zako, unapokuwa mwenyewe tu.

0 39

Ok, Nafahamu unafikiria  hivyo  ngoja tufahamu sasa,  mwanamke atawezaje kuandika  makala  kuhusu  mwanaume anachohitaji kwenye mwili wake? Nina maana kwamba ingefaa mwanaume aandike hii  makala kuhusu mahitaji yao ya kimwili.

1 108

Unatafuta aina ya mazoezi ambayo yatakusaidia kuweka mifupa yako vizuri hasa kwenye tumbo na mgongo?  Unatafuta kuwa na Abs, kuimarisha  misingi  yako,  na kuboresha  mwili? Kama ndio hivyo  fanya mazoezi …

0 68

Ukweli wa mahusiano . Kama hufanyi makosa , basi hujakutana na  changamoto ya kutosha. Simaanishi  Usaliti na sina maana ya usaliti. Hapana

0 70

Kila mtu anahangaika kuondoa uzito na kuondoa tumbo  kwa njia moja au nyingine. Jaribu kuita hiyo kama imepita.

0 147