Posts in

Archives


Mteja wangu aliniuliza swali, alisema. Mchumba wake anahitaji muda wa kuwa mbali na mimi ili kufikiria kuhusu maisha yetu ya baadae, na hapakuwa na matumaini  kwa ajili yetu. Nimekata tamaa. …

0 51

Matarajio VS Ukweli Ufunguo wa mafanikio katika mahusiano ni mawasiliano. lakini wengi wetu hatuna uwezo wa kusikiliza wenzetu.

0 64

Kuwa na mvuto haihusiani na kutumia  manicure, moisturizer, au  kununua nguo za gharama  na viatu vya gharama na pochi. Nimesema  baadhi tu ya vitu ambavyo wanawake wanapenda kuvitumia.

1 246

Unataka kujijali? Na kuwapenda wengine. Unavyowapenda wengine, unajifunza kujipenda wewe kama  mtu anaestahili kupata upendo huo.

0 80

Kila mtu anahitaji kukutana na mahitaji yake , mbali na kuwa na uvumilivu , kuwa na heshima, kuwa na busara, kutokuwa na tamaa ya kitu, hata katika kuridhika na kila …

0 78

Jiokoe na  vitu vinavyoumiza Nilichoka kutoka na mwanaume  na kupoteza muda wa  wiki, na hata mwezi , kujaribu  kumfahamu .Nilifahamu sifa ambazo nazitaka kwa mwanaume, cha muhimu zaidi ,  nilifahamu …

2 82

Unahitaji kupata msaada wa kujenga  mahusiano unayoyataka  na kuwa na kiwango kizuri katika mapenzi ya sex kwenye maisha yako.

0 171

Kwenye movies tunaambiwa kwamba  unaweza kumtazama mtu machoni na kufahamu  kuwa unaweza kuishi nae  maisha ya kudumu na ya furaha.

0 76

Kitu kidogo ambacho kinaweza kubadilisha kila kitu ni kujikubali. Ni kwa  jinsi gani Mwanamke mwenye uhuru wake  anahitaji kuwa na  viwango   vyake  inapokuja wakati wa kuhitaji mwenza kwa siku za …

0 55

Kwa nini watu wengi huwa tunafikiria kuwa ndoa ndio itatupatia furaha? Napenda kuona ndoa zilivyo na muungano mzuri, zinatumia mapatano–

0 215