Posts in

Archives


Anafikiria nini. Nani kampa haki ya kukuvunja moyo?  Rudisha moyo wako, hizo ni fikra tu , moyo wako haujavunjika hata kidogo

0 50

Siwezi kufikiria  jinsi maisha yangu yalivyobadilika  kwa njia ambayo nilifikiria kuwa. Nilikuwa na hiyo taswira  ya mambo mengi , Na kila kitu kinatokea katika maisha yangu

0 46

Kabla hujafikiria  kuwa mwili wako  unashambuliwa  na sakata la kupungukia baadhi ya nguvu,  ngoja nikuambie kuwa  Aerobic ni mazoezi mazuri kupita aina nyingine  kwa ajili ya mwili wako.

0 101

Yule mtoto akakua ,akaongezeka nguvu,amejaa hekima , na neema ya Mungu ilikuwa juu yake Kulea mahusiano yako na Mungu inatakiwa  kujichunguza  ndani ya roho yako. Unaweza kuwa na dini  bila …

0 77

Tunapoongea kuhusu furaha,  Tunafikiria kukaa na furaha kila wakati –kila siku. kila dakika bila  ya mashaka.  Tunajaribu kufikia  hali hii ya Furaha kama ndio lengo letu. Na kuepuka kila kitu …

0 69

Ingawa hisia huwa zinashawishi  jinsi ya kupokea matukio na jinsi ya kufanya maamuzi,  watu wengi huchukua muda kidogo sana kuongelea kuhusu  hisia zao.

0 78

Kuelewa mitazamo iliopo ya kibinadamu. Mara nyingi nimejiuliza  kuhusiana na mitazamo  iliopo ya kibinadamu. Kwa urahisi, Inatokana kwenye chanzo  cha neno ”uwepo ”wa binadamu. Kuwepo kwa binadamu ni katika uchunguzi …

0 94

Dhidi ya kutafuta usahihi ndani ya mwenza wako. Kwanza, unafahamu kuwa hakuna kitu kama hicho kilicho sahihi. Bila shaka sote tumejaribu  mbinu mbalimbali na uzoefu mbalimbali ili kupata mwenza sahihi.

2 67

Hii ndio hasa mtu anapomaanisha wakati anaposema  Sijambo. Kwa mtu yeyote ambaye anasumbuliwa na tatizo lolote la kiafya au tatizo lingine,  mara nyingi huwa ni ngumu kujielezea  wanapoulizwa wanajisikiaje. Mawazo …

0 42

Wakati watu wanapoteseka na Kukata tamaa katika mahusiano ya kimapenzi au katika kazi mbalimbali,Wakati mwingine waliweza kuambiwa ; Haikuwa Bahati yako. haikuwa mpango wa Mungu. Wakati mwingine ni kweli?

0 35