Posts in

Archives


Bado nahisi kutopendwa, kutothaminiwa, kutounganishwa, kutojaliwa. Kushughukia mvutano huu kati ya kilichotokea  na kitu unachotaka.

0 74

Tumekuwa tukiongea zaidi kuhusu  uongo uliopo, kwamba urafiki wa kimapenzi  una madhara, Lakini ndio hivyo?  Na hatuongea hivi?  

0 71

Hii ndio aina ya upendo ambao unahitaji kusubiri . Sio aibu au Kusita. Sio kitu ambacho utafikiria kukilazimisha. Utajisikia kuwepo nyumbani  kwa usalama.

0 63

Hakuna Muda Mbaya wa kufanya mambo sahihi. Kuna muda sahihi wa kuoa au kuanza mahusiano ya kudumu? swahi hili nimelipata kutoka kwa mteja wangu mmoja. 

0 323

Usidate naye kwa sababu ya upweke wako. Usitumie muda mwingi wa kuongea naye sehemu  kwa kujilazimisha. Usikubali kutoka naye. Usiseme ndio Kwa sababu ya kutaka kuondoa hamu ulionayo.

0 70

Siwezi kukuokoa ,lakini naweza kukupenda. Sitaweza kuondoa maumivu uliyo nayo moyoni mwako. Lakini naweza kuwepo upande wako  na kukuahidi kuwa sitaweza kukuumiza moyo wako.

0 51

Kujisalimisha kiroho ni muhimu unapokuwa unaendelea  katika hatua ya juu ya kuwepo kwenye  Nuru Ya Upendo Kujisalimisha kiroho ni ufunguo  wa ujuzi ambao utakuokoa  unapoendelea  kuwepo katika hatua ya juu …

0 56

Je pombe ina nafasi katika maisha yako ya kiroho?  Pombe haina faida kwako unapotembea katika maisha yako ya kiroho.  Hakuna badiliko lolote linalokuja  lenye kuleta maana yoyote  kutokana na kutumia …

0 83

Acha kucheza na moyo wake. Mwanamme kwa mwanamke~ 1.Acha kufikiria  kuwa hayatadumu

0 56

Pamoja na kwamba unakubaliana na dawa nyingi zinazookoa  maisha , matibau ya saratani, Nataka tuende ndani zaidi. huko ambako dawa zinafanya kazi . Ni kuangalia kiini cha tatizo, kuangalia zaidi …

0 48