Posts in

Archives


Kila msichana  ana ndoto ya kuwepo kwenye mahusiano sahihi,  Ni kama vile kwenye movies.Wana matumaini yote  na kusubiri  bila ya kuwa na mapenzi na mtu mwingine , nia yao ni …

0 71

Hutakuwa mkamilifu kwa moyo ambao sio sahihi. Hutaweza kupata utulivu kamwe ukiwa na moyo ambao  haudundi kwa ajili yako. Macho yako hayataona upendo ndani ya roho inayotafuta mtu mwingine.Unaweza kuwa …

0 62

Sifa ambazo zinasaidia  watu kuwa na umoja wa ndani zaidi. Mara  nyingi wanandoa  wanalalamika kuhusu kuwa na matatizo katika mawasiliano. Lakini kama tukiangalia ndani zaidi , Kuna misingi yenye sifa …

0 50

Wakati tendo la  ndoa ni Upendo. Nilifanikiwa kukaa na wanaume ambao walikuwa wakiongea kuhusu hisia zao  za ngono , maisha yao ya sex,  na jinsi wanavyoweza kufurahia.

0 93

Miaka 20 sikufahamu kama ningeweza kuingia  katika kupenda. Haikuwa chaguo langu  na sikuweka kipaumbele katika maisha yangu.

0 73

Kuwa mtu mpya ni kuzaliwa upya.  Huwezi kuwa mtu mpya bila ya kufanya mabadiliko ndani ya moyo wako, mwili wako , Akili yako na hisia zako.

0 59

  Achana na sababu kubwa kubwa , Badala yake pata Suluhisho la kukuwezesha kufanya  sex . Wanawake tu viumbe wa miujiza, usikubali mtu yeyote kukuambia  vinginevyo . Tunamiliki miili mizuri …

0 95

Kuishi maisha ya uhuru na kuachana na yaliopita, Ni vizuri kuangalia mpangilio uliopo ndani ya mhariri wako wa ndani. Fikiria kuhusu  umakini wa kuchagua kila unachotaka kukifanya. Kuoa, kuolewa, kazi, …

0 57

Tunaishi katika Ulimwengu mgumu  na tunashambuliwa kila wakati.Miaka ya leo ina mabo mengi ambayo yanaeleweka na yasioeleweka. Lakini bado unaweza kuishi kwa amani.

0 60

Maisha yanabadilika unapomkaribia Mungu. Wanadamu wote wanahangaika, Lakini kuna waliozidi zaidi katika kuhangaika .Jifunze kumkaribisha Mungu.

0 62