Posts in

Archives


Zaidi na zaidi tunajifunza kila siku kuhusu kupunguza uzito, sio tu katika mazoezi na kupunguza calories. Tunapozingitia mwili wa mwanadamu kwa ujumla na kuelewa  umuhimu wake, tunaweza kuamua  kwamba tunachokiona …

0 72

Mambo ya kudharau hisia zako, mwonekano wako, wakati wa kwako mwenyewe, kuuliza maswali, Kutojibu meseji au kupiga simu, na kushindwa kubadilisha mazingira . kujiona hustahili, kujiona umekataliwa,  hukubaliki, hupendwi, huheshimiwi. …

0 40

Mahusiano ni sawa na kioo ,Mpasuko mdogo unaweza kuvunja kioo chote. Inahitaji umakini wa hali ya kipekee. Mahusiano yalio sahihi  sio rahisi kudumu  katika mafanikio.

2 59

Ufanye mwaka ujao kuwa mwaka wa tofauti kubwa kwako. umekuwa ukienda mbio kupita kiasi, Geuka , rudisha Gari yako na uanze kutumia muda wako vizuri kuanzia sasa hivi.

0 80

Maongezi , makala na vitabu  vinatufundisha zaidi, tusihofu,jisikie vema. kama mwandishi wa makala hii  katika love life,  ninakusaidia . Ingawa wengi wetu hatujawahi kujua  hata mbinu moja  ya kuwa na …

0 46

1.Maumivu yapo. Maumivu hutokea mara, ni kitu kisichozuilika, ni sehemu iliyoumizwa na inahitaji utaratibu wa kupona,  Ili kusonga mbele kutokana na hisia za kuumizwa itabidi utambue  aina ya maumivu. Machozi …

0 58

Kuna familia ambazo  hawana kabisa desturi ya  kujali wengine.  Familia zingine zinakuwa na watu wasomi kabisa, lakini hawana hekima hata kidogo. Ukiolewa  au kuoa mtu ambaye ametoka katika moja ya …

0 70

Tunatumia muda mwingi sana kutaka kujua kama mtu  tunayempenda kama na yeye anatupenda, hio inatufanya kusahau jinsi  ya kufurahia mapenzi jinsi yalivyo, wakati uliopo. 

0 154

Inashangaza jinsi Mungu alivyomuumba Mwanaume, Na Inapendeza jinsi alivyomtengeneza mwanamke!

0 98

Ana akili ya dhahabu Utayari wake ni wa kujifunza Ni kitu ambacho hakiwezi kumpita.

0 118