Posts in

Archives


Umejifunza kitu fulani ambacho ni kigumu kiasi kwamba  ulijaribu kumbadilisha mtu lakini hukuweza. Umenijifunza, hata mimi nimejifunza kuwa watu tunaowataka sio ambao tunawapata.

0 53

Mwisho mlango umefungwa na kelele zimekwisha. Nilikuwa chumbani mwangu ,Taa zimezimwa hakuwepo mtu yeyote.

0 66

1.Kutuma vitu  kwenye mitandao visivyokuhusu Usifanye mitandao kama diary yako 2.Kutotumia Maji ya Kutosha.

0 56

Hapa Kuna perfect solution. Najua umesahau. Inatokea kwa watu wengi.  Sikukuu na matukio mengi yametokea, nani alikuwa na muda,  Je na mwenza wako?  Mmmm, huenda sio kwa ajili ya kutaka …

0 62

Bila shaka , kumpendeza Mungu  kunahusisha mambo mengi zaidi kuliko tu kuepuka  mambo yanayo mchukiza.

0 96

Ninachoka pale watu wanapokata tamaa bila ya kupeana muda wa kusameheana. Kinachonichosha zaidi ni mtu kuamua kujinyonga kwa ajili ya kukataliwa. Nikiona hivyo naumia kwa sababu ya mtu ambaye amefungwa …

0 52

Unaweza kubadilika bila ya kukua, lakini huwezi kukua  bila kubadilika. Kamwe hutaweza kupita katika mto huo huo mara mbili na ukapita kwa usahihi, utahitaji umakini mkubwa.

0 54

Siwezi kukiri kwamba nimekuwepo kwenye mahusiano mazuri. Nimepita kwenye mambo mengi hasa linapokuja swala la upendo na nina uhakika wa kujaribu tena. 

0 62

Umejikuta tu uko bussy siku nzima  katika mipangilio yako ya kazi?  Umekuwa ukivuta muda  mara nyingi?

1 62

Kujifunza jinsi ya kumfanya mwanaume akupende haina maana kwamba unajiimarisha . Upendo. Ni uvumilivu. Ni Wema.  Unakatisha tamaa na kuchanganyikiwa.

0 147