Posts in

Archives


Huenda unajisikia umepotea, na unaona marafiki wako bize hawakukumbuki. Huenda unahisi hakuna kitu kizuri mbele yako. Unatamani muda uishe haraka uende kulala tena . Huenda unahisi kitu kilichotokea kwako kama …

0 62

Kujijali.  Kujijali ni sehemu moja kubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu , hasa kwa yule ambaye yuko bize na kazi nyingi za kila siku.

0 68

Tunapata maana ya maisha kila tunapoamka , na kupata uzoefu wa mambo yote Ni nini maana ya maisha ? Unaweza kuona kama swali la kijinga lakini  ni gumu sana kulijibu,

0 48

Kuna vitu ambavyo vinazuia Unabii wako usitimie , Lakini nakuambia Kuwa upo uwezekano . Unabii wako lazima utimie. 

0 59

Bila uhuru na mipaka ndani ya mahusiano  unaweza kuzimia wakati wowote hasa kama wewe  huwezi kupigana na maadui wadogo wadogo ndani yako wanaokupigia kelele nyingi ambazo hazina maana.

0 67

Mbinu Itakayokusaidia kutambua na kubadili mawazo  mabaya yanayokuja kwako mara kwa mara .

0 61

Chombo chochote kisichokuwa na vishikio  hakiwezi kubebeka. Mfano beseni lisilo na mashikio yake hutaweza kulibeba.

0 64