4 EXERCISE TIPS KWA WATU AMBAO HAWAPENDI MAZOEZI


Two-women-doing-lunges-on-park-bench-outdoors-1024x576 4 EXERCISE TIPS KWA WATU AMBAO HAWAPENDI MAZOEZI

Kama unapenda mazoezi utakuwa karibu na watu wanaopenda mazoezi, au hata kama utakuwa umeamua kufanya mazoezi nyumbani kwako, hio ni kupenda kweli hali ya kuwa mtu wa mazoezi.lakini kwa sababu ya kuyakataa na kuyachukia mazoezi,  hutaweza kuwa karibu na wala kujifunza mbinu za mazoezi.

Ukilinganisha na wengine, Ingawa  mazoezi yanahitaji  maamuzi magumu. Kitu kimoja lazima ukifahamu kuwa mazoezi  ni kitu kizuri ambacho kinaweza kuwa ni kitu cha kawaida kabisa kwenye maisha yako. Kumbuka unapofikiria kuruka kamba, au kuendesha bike kama mchezo

Vilevile kuna uzuri wa kuamua kufanya mazoezi ,  ni vizuri kutafuta vitu gani unavipenda hasa kama utaangalia kule nyuma kabisa ulikuwa unafanyaje  mazoezi gani, kazi gani , unaweza kufurahia ,  unaweza kuyafanya kuwa ni mazoezi yako ya kila siku. Hutapoteza kitu.

1.Approach Exercise Mindfully

Akili iliotosheka na kukamilika , inahusiana na kazi za kimwili. Tabia za kazi za mwili na akili ya utulivu  zinaathiri  utulivu wa  kwenye  kazi za kawaida. Mahusiano yaliopo kati ya kazi hizi , utulivu na kutosheka zinaweza kuendeleza kazi za kawaida. kwa mfano kama utafanya kazi kwa mfululizo wa muda wa  masaa kadhaa na kutokwa na jasho , hayo ni mazoezi. na kama hizo kazi mwili wako ulikuwa ukihusika na sio akili tu.

Utulivu huja kidogo kidogo na kufanya  mabadiliko kwenye  kichocheo, hisia, au  hata  kukuonyesha. Kwa hio fanya kitu ambacho unaona kinafaa kukifanya Ambacho kitakuwa ndio mazoezi yako

  1. Take Your Workout Outside

Kazi za kimwili  zinaboresha hali yako kuwa nzuri kila wakati, hutakuwa mtu mwenye stress, ziko faida nyingi unaweza kupata kwa kufanya kazi hizo sehemu nyingine, jiambie mwenyewe kuwa ni muda wa kucheza sio muda wa mazoezi ukifanyia kazi hizo nje  utajisikia vizuri zaidi  na mwenye nguvu.

3.Tell Yourself It’s Treat

Kwa njia unayoongea kuhusu mazoezi yako  , tabia  yako itabadilika na kutaka kufanya mazoezi  zaidi ya hayo. Jiambie ni muda wa kucheza  sio muda wa mazoezi. Unaweza kugundua  faida zake.

Watu wanaoamua kufanya kitu , huwa wanasonga mbele hawarudi nyuma  haijalishi kuna ugumu gani.  Huepukana na vyakula ambavyo vitawaletea uzito usiotakiwa.  Hujipongeza wao  wenyewe wanapoweza kufanya vizuri.

Previous HOW DO YOU HANDLE RAFIKI AMBAYE ANAKUWA KAMA AN INTERROGATOR?
Next SIRI YA FURAHA YA KWELI SIO KAMA UNAVYOFIKIRIA

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.