Posts in category

afya


    Badilika Wala msifuatishe namna ya Dunia hii, Bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu . 1.Anza kujifikiria wewe mwenyewe kwanza ni tabia gani unayoitaka na ipi huitaki, Unao …

0 68

Mtu pekee wa kukuponya ni wewe mwenyewe. Usitegemee Dactari, huyo Dactari atakusaidia tu lakini wewe utajiponya.

0 71

Zaidi na zaidi tunajifunza kila siku kuhusu kupunguza uzito, sio tu katika mazoezi na kupunguza calories. Tunapozingitia mwili wa mwanadamu kwa ujumla na kuelewa  umuhimu wake, tunaweza kuamua  kwamba tunachokiona …

0 74

Nafikiri hakuna mtu ambaye anapenda kuambiwa kuwa hana akili. Mara nyingi watu wanawaambie wengine kuwa hawana akili. Hakuna mtu asiye kuwa na akili . kila mtu ana akili.

0 68

Unakula vizuri vyakula vya mimea kama diet yako , Unausogeza mwili wako mara kwa mara, Una ratiba yako nzuri ya kufanya mazoezi. Ukienda shoping yako unanunua vitu vya Organic na …

0 71

Maisha yanabadilika unapomkaribia Mungu. Wanadamu wote wanahangaika, Lakini kuna waliozidi zaidi katika kuhangaika .Jifunze kumkaribisha Mungu.

0 65

Najua sukari ina utata, Kuna maswali mengi kuhusu vitu vitamu. Hapa kuna baadhi ya maswali  ambayo yanakuumiza kichwa .

0 87

Pamoja na kwamba unakubaliana na dawa nyingi zinazookoa  maisha , matibau ya saratani, Nataka tuende ndani zaidi. huko ambako dawa zinafanya kazi . Ni kuangalia kiini cha tatizo, kuangalia zaidi …

0 48

Kwa miaka mingi nimekuwa kwenye Sayari hii, Ni mekuwa nikihangaika kwa ajili ya kujikubali jinsi nilivyo kama mtu. Kujifunza kupenda kila kitu nilichonacho kama ni kibaya au kizuri.

2 76

Nikiwa na umri wa miaka 20, pombe ilikuwa sio muhimu sana katika maisha yangu. Ilikuwa nikienda kwenye sherehe, lakini  sikuweza kutumia pombe.

0 58