Posts in category

Aging


    Badilika Wala msifuatishe namna ya Dunia hii, Bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu . 1.Anza kujifikiria wewe mwenyewe kwanza ni tabia gani unayoitaka na ipi huitaki, Unao …

0 68

Unawezaje kujizuia kuwa na mawazo mabaya ili kuishi ukiwa na mawazo mazuri? Kustaafu. Mjomba wangu  hakutegemea  kuwa na mzigo wa akili  ambao uliambatana na kukosa kazi.

0 57

Umewahi kuhisi kama ni ngumu kuweka afya yako vizuri, na unajikuta muda unapita haraka bila ya kutambua? hata mimi pia.  Hapa utafahamu kila kitu ambacho unataka kujua kuhusu,  Afya ya …

0 61

”Amani”Ni hali ya kipekee kwa muda huu na wakati wote.”Amani ya Dunia,” ”Amani ya Ulimwengu”, Amani ya familia,  Amani ya jamii, amani ya mahusiano, amani yako n.k. Ni kitu ambacho …

0 48

Mature woman sitting on sofa, looking away in thoughtSingle na kuchoka kuhusu hicho? Unafanyaje ili kubadilisha hii tabia . Kama wewe ni mwanamke single mwenye miaka 40, unayo historia yako …

0 69

Utafanyeje uweze kuutunza ubongo vizuri kwa kadri unavyokua? Hapa kuna  mbinu chache za kukusaidia

0 51

Mara ngapi umesikia maongezi yafuatayo, au hata wewe unajikuta unasema haya maneno? Nimepitwa na wakati wa ( jaza wewe hapo)

1 66

Hivi karibuni nikuwa najiuliza, kulingana na uchunguzi niliofanya , ”Natakiwa kufanya nini umri huu wa miaka 30 ambavyo vitanipa faida nikifika miaka 50, na zaidi.

0 81

Uzito na mazoezi ni tatizo kwa wanawake wengi, sio tu wale ambao wanakaribia menopause. kuhisi kuwa na mambo mengi hasa na kuendelea pale unapokuwa umekwenda njia tofauti

0 58

Mahusiano na mapenzi katika umri wa kati , menopause na kuendelea huleta mabadiliko mengi kwa kila hatua , kimwili , kiakili na kihisia.

1 97