Posts in category

breath


Kabla hujafikiria  kuwa mwili wako  unashambuliwa  na sakata la kupungukia baadhi ya nguvu,  ngoja nikuambie kuwa  Aerobic ni mazoezi mazuri kupita aina nyingine  kwa ajili ya mwili wako.

0 112

Unategemea kuwa unaweza kujidhibiti zaidi? Wote tuna wakati ambao tunakosa nguvu ya kujizuia tunapoanguka katika maamuzi yetu. Mbali na kukosa  maamuzi au kuwa na maamuzi mabaya.

0 64

Ni lazima Vinginevyo… Hata kama wewe ni mwanaume mwenye kazi nyingi au mwenye tamaa ya mambo mengi, unaeshindwa kujidhibiti kwa kuwa na mpenzi mmoja. Au mwanamke una mume mwenye macho …

0 80

Unataka kujijali? Na kuwapenda wengine. Unavyowapenda wengine, unajifunza kujipenda wewe kama  mtu anaestahili kupata upendo huo.

0 80

Wachunguzi wamegundua kuwa kati ya watu wanne mmoja ana tatizo la akili katika moja ya  vitu vya  maisha yake. Ingawa bado tunajitahidi kujiboresha wenyewe kimwili.

0 45

Kama unapenda mazoezi utakuwa karibu na watu wanaopenda mazoezi, au hata kama utakuwa umeamua kufanya mazoezi nyumbani kwako, hio ni kupenda kweli hali ya kuwa mtu wa mazoezi.lakini kwa sababu …

0 71

Kama kuna kitu kimoja ninachotaka mwaka huu kwa ajili yako ,ni   kile kitu chenye majaribio makubwa  ya kuendelea  na diet nyingine  ambayo inakufanya  ujilaumu, uone aibu , na kukata tamaa.

0 57

Ni kuhusu  faida za ubunifu ambao  wanawake wanatakiwa kufanya –kwa sababu wanawake wengi wanakosa  njia hizo za ubunifu.

0 54

Bila shaka  kwamba kwenye maisha unaweza  kuondokana na masikitiko na tamaa au majuto.

0 93

Wengi tunafikiria kufanya mabadiliko mbalimbali baadaya ya mwaka mpya, Lakini tumefungiwa zaidi na uzuri  katika kujikwaa, yua na bila ustadi.

0 56