Posts in category

breath


Kuna vyanzo vingi  vinavyosaidia jinsi ya kuanza tafakari. Ingawa wote wanajaribu kusaidia  kadri iwezekanavyo, kuna mbinu moja nzuri ya kuanza nayo  mazoezi ya  kutafakari . Anza kidogo.

0 42

Nilifikiria sana ni  jinsi gani unaweza kujenga misuli bila ya kwenda kunyanyua vyuma, lakini kuna mtu mmoja kanihakikishia kuwa  upo uwezekano  ulio rahisi wa kujenga misuli bila ya kwenda gym.

0 82

Kwa wale wenzangu wanaofuatilia namna ya kutafakari, (meditation)  na hata wale ambao bado hajaanza kabisa , tujifunze kupitia hapa , huyu mtu alivyofanya na kupata mafanikio .

0 49

Kila mtu , kila siku huchagua nguo ya kuvaa, kitu cha kula  asubuhi,  mchana, au mtandao upi  anahitaji kutumia, na jinsi tunavyoenda kutumia  kwa muda wetu.Kat ika ulimwengu wa afya …

1 73

Katika  maishsa yangu yote, moja ya  vipaji vyangu vikubwa  ilikuwa kuondoka kabisa kutoka  kwenye shimo la huzuni ndani ya moyo wangu

1 129

Anza  siku yako vizuri,.’’ asubuhi yako ndio itakufanya uwe na siku nzuri  yote. Ratiba yako sahihi  itakupa mafanikio 

0 66

Neno’’ tafakari’’  na ‘’kukumbuka’’ ni maneno yasio epukika siku hizi, pamoja na kiasi cha kutokuwa na mwisho wa  makala zote, kila kitu kina tokana na   kupunguza msongo wa mawazo ili …

1 34

Kujipima inaonekama kama kazi rahisi sana.  Ni kwenda tu kwenye mzani,  na kusoma namba kwenye screen, na unakuwa umemaliza. Sawa? Sio sahihi, kujipima mwenyewe  ni ngumu kuliko unavyofikiri.

0 52

Kutokana na changamoto nyingi  za kupunguza uzito na kuondoa manyama uzembe ,fanya maamuzi ya  msingi  ya kufanya diet kwa siku 10 tu na utaona matokeo makubwa  yasiokuwa na madhara kiafya.

0 35

Inawezekana unatumia kikombe cha chai  au kikombe cha  kahawa kila siku asubuhi, wengi wao hutumia maji ya kawaida ili kuanza siku vizuri. Hivi vitu vimekuwa

2 209