Posts in category

faith& prayer


Imani ya  kila dini ina nyenzo nyingi za kumsaidia muumini  anaeamini kwenda hatua nyingine. Mfumo huu ni wa maombi. Maombi ni njia yako  ya mawasiliano na Mungu.Unaweza kuomba chochote Unachokitaka …

0 124

Kwako mpendwa, Nafahamu umekuwa ukinisubiri  nifike kwako, kwa ajili yetu , tuweze kukutana. Kwa ajili ya ndoto yako iweze kuwa ya uhakika, Kwa ajili ya kuamini nguvu ya maombi  tena, …

0 82

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda. Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa …

0 93

Mwanadamu hawezi kuishi bila ya hivyo. Naamini kama ukiwa na Imani utaweza kutunza Uaminifu, Utakuwa na tabia nzuri,kama ni mtu wa shukrani, Utaona Mungu akifungua milango kwa ajili yako

0 65

Katika Dini ya Kiislamu, Eid ni sherehe ya muhimu sana , na inaonyesha Upendo, kusherehekea maisha, na uaminifu kwa Mungu Allah. Sherehe mbili za eid kwa mwaka kwa waislamu ni …

0 112

Imani ni Uhakika wa mambo yatarajiwayo, Ni bayana ya mambo yasionekana . Maisha yanahitaji Imani, Inahitaji imani kusafisha meno yako, kuvua nguo zako, kuweka alarm, na kwenda kulala kila siku …

0 57

Ni miaka mingi nimekuwa nikijiuliza swali hili, nitawezaje kumpenda Mungu kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote na kwa nguvu zangu zote? Kila nikisoma maneno haya  moyo wangu unaugua, …

0 313

Hii Ni Amri Nimewapa Mpendane Kujifunza kupenda. Inawezekana kuna swali moja tu ambalo watafutaji wanahitaji kujiuliza wenyewe kuhusu  hali zao za kiroho ya kwamba, Napenda kwa kiasi gani?

0 84

Ufahamu haufundishwi; hakuna mtu anaweza kufundisha ufahamu, unatakiwa uwepo kama mwanga ndani yako mwenyewe.

0 69

Amini usiamini hivyo ndivyo ilivyo. Kila mtu jinsi alivyo , anavyoishi ni kutokana na Imani yake.

0 56