Posts in category

halisi


  Tupa mizigo yako kwa kutumia mbinu hizi. Inaonekana kwamba watu hawaamini kuwa kuna uwezo wa kuondoa  mizigo ya hisia mbaya kwa upesi zaidi. ingawa mazingira yanaonyesha  lazima kuwe na …

0 228

Leo nataka  nimuadhimishe mwanaume ambae  anajaribu  kujielezea upya  kuwa ina maana gani  kuwa yeye ni mwanaume.

0 53

Uelewa ni kitu chenye thamani na umuhimu wake ni mkubwa, uelewa unagusa  maeneo mengi  ndani ya maisha yetu.

0 90

Ukimya ni chombo kinachotuliza  mambo mengi  wakati wa maongezi . Katika maongezi huwa tuna nguvsahau au kutozingatia nguvu ya ukimya .

0 309

Lini nitakuwa mimi kabisa? Kujifahamu wewe ni nani ndio ushauri tunaopewa mara nyngi. Unapoenda kusailiwa kwa ajili ya kupata kazi au kwenye siku ya kumpata mpenzi unaemtaka, marafiki hutuambia kuwa …

0 49

Umepungua uzito? hili ni swali la kawaida limekuwa likiuulizwa mara nyingi. Nimemwona mtu ambae sijamuona siku nyingi , Anaonekana vizuri, ndio mawazo ya watu wengi. Ni tabia mbaya , na …

0 62

1.Akili za wenye nguvu : Hukubali muda wao kipekee , Lakini Watu wenye  akili dhaifu  huhitaji  company.

1 56

Umewahi kuwa na hisia ya kitu fulani cha mbali? Una upungufu wa mawazo chanya? Au unajisikia kuwa na  uwepo mwingi wa negative  ukikuzunguka kila mahali?

0 116

Uko sahihi tayari… kama ulivyo tu. Ni lini ulijitazama mwenyewe kwenye kioo na kujipenda kama ulivyojiona?

1 88

Nina ufahamu wa ukweli kwamba   mimi ni mtu wa wasiwasi sana ,  nimekuwa nikijipelekesha mwenyewe kama kichaa  wakati mwingine   kufikiria na wasiwasi,

0 105