Posts in category

Imani Na Maombi


Usijikatie tiketi ya kuacha kwa ajili  yako wewe mwenyewe. Huenda uliingia katika njia ya waovu na hukujua kama uko humo. Ukazidi kutembea katika njia zao mbaya. umefika katikati mambo yamekuwa …

0 53

Kila mtu anatakiwa kuwa na madhabahu yake mwenyewe mbali na madhabahu ya kuchangia na wengi.  Kuna madhabahu ya aina mbili . 

0 36

Kitu chochote ambacho unakifanya  lazima kwanza kiwe na Nuru. Unapoona Nuru umeona Pesa. Hazina zote zimefichwa kwenye Giza. Ni muhimu kuitafuta Nuru ili upate Pesa.

0 61

Bila shaka , kumpendeza Mungu  kunahusisha mambo mengi zaidi kuliko tu kuepuka  mambo yanayo mchukiza.

0 70

Uongozi kiungu  unatoka kwa Mungu, Ina maana sio wa mwanadamu bali ni wa Mungu. Mwelekeo ni wa Mungu. Kufahamu ni mahali gani , ni kitu gani,  na ni wapi,  wakati  …

0 58

Unapataje mke au mume kwa njia ya Mungu. Kila mtu kwa wakati maalumu anahitaji awe na mwenza sahihi  ambaye ameumbwa au kutengenezwa kwa ajili yake.

0 38

Neno hili kama Linavutia.Ni moja ya neno Lililoongelewa sana Kwenye Biblia moja kwa moja kwenye majukumu yetu na lina masharti.

0 34

Watu wanafundishwa kusali. Ni kweli , ni kweli kabisa. Zipo kanuni nyingi, kuna kanuni za kiaskari, Zipo kanuni za ufalme wa Mungu. Maombi ni ushirika kati ya mwanadamu na Mungu.

0 110

Kama Imani yako sio ya plastic, haiwezi kukua. haiwezi kuvutika. Kuna imani za chuma, mbao, kamba, ambayo kila mara inaona hofu, mashaka  unapoingia katika magumu. lakini Mungu alimpa mwanadamu Imani …

0 56

Kutubu maana yake ni kubadilika jinsi unavyofikiria , jinsi unavyowaza, jinsi unavyohisi, jinsi unavyoona Na jinsi unavyotenda. Badilisha Akili yako.

0 41