Posts in category

LIFE


Hakuna kitu kibaya kama kukataliwa na jamii, kuna watu hukataliwa na ndugu zao eti kwa sababu tu ya upofu walionao. nasemea upofu ambao ni upofu kweli sio wa mamboleo, lakini …

0 34

    Mara nyingi  watu wamekuwa wakipenda makelele kana kwamba ndio sehemu ya kupata utulivu au starehe na mapumziko mbalimbali katika mikusanyiko  baada ya shughuli nyingi na za ngumu , …

0 34

Kuna kitu kimoja tu, na ni kumoja tu, kumuona Mungu kwa kila jambo  na kila wakati,  na katika kila sehemu.kwa  kusema usiwe na hasira , uwe mkweli , acha ugomvi …

0 40

  Kuwa wa kiroho , mara nyingi watu wamekuwa  wakisema kuwa mtu kuwa wa kiroho ni lazima awe ameumizwa , amevunjika moyo, amekwama kimaisha , yaani amekata tamaa kabisa ya …

0 34

Kila mtu ana nyota yake aliyozaliwa nayo, lakini watu wengi wamepoteza nyota zao , kwa hio inawalazimu kutafuta nyota kama vile hawakuwa nazo.  kwa maneno mengine

0 41

Mara nyingi umekuwa ukienda  kuona  wengine  wanaofanya mambo makubwa  katika maisha yao , hasa  wanamuziki mbalimbali  na hata waimbaji  maarufu  wanapokuwa katika maonyesho yao, pengine hata wafanyabiashara wakubwa

0 40

je wewe ni halisi?:Ni kwa nini tunakuwa na kiburu, kwanini tunasema uongo,kwa nini tunamwaga damu za watu wasio na hatia, kwa nini tunawaza mabaya ,kwa nini tunakimbilia maovu  na, kwa …

2 39

Furaha ni nini;;,  ni hali inayokuja kwako ndani yako mwenyewe katika ufahamu wako na mawazo yako na sio kiasi cha fedha ulichonacho ila ni  pale unapojua maana ya maisha, na …

0 34

Hatukupewa maisha mazuri au mabaya ,ila  tumepewa MAISHA . ni sisi wenyewe tunaweza kuyafanya maisha      yawe   mabaya au mazuri, kwa hio ni jukumu letu kuyatengeneza ili yawe …

0 42