Posts in category

live


Kuwa single ni kuwa mkamilifu, lakini watu wengi wanafikiri kuwa ni laana au kukosa bahati. Wanawake na wanaume wengi wanaishi kwa masikitiko wakifikiri kuwa hawana ngekewa ya kupata wenza.

0 83

Tunapata maana ya maisha kila tunapoamka , na kupata uzoefu wa mambo yote Ni nini maana ya maisha ? Unaweza kuona kama swali la kijinga lakini  ni gumu sana kulijibu,

0 49

Wazazi wetu walisema hivyo, marafiki zetu walisema hivyo pia, hata mimi na wewe tunasema hivyo.

0 102

Unastahili kuishi. Na zaidi ya hio , unastahili  kustawi. Kutabasamu. kucheka. Kupaa. Unahitaji na unastahili kuishi maisha marefu  yenye maana kamili sio maisha ya kujilaumu kila siku.

0 52

Msamaha ni zawadi  tunayotoa kwa ajili yetu wenyewe. Msamaha hauhusiani na jinai au uhalifu wa  makosa ya mtu. Ni kuhusu kuondoa mizigo ilopo ndani yako mwenyewe ili usiwe muathirika.

0 44

Ufanye mwaka ujao kuwa mwaka wa tofauti kubwa kwako. umekuwa ukienda mbio kupita kiasi, Geuka , rudisha Gari yako na uanze kutumia muda wako vizuri kuanzia sasa hivi.

0 81

Wakati mwingine kwenye maisha tunajikuta tumefika mwisho. Hatuwezi kusogea. hujui ni wapi pa kuelekea. Haijalishi upo stage gani kwenye maisha yako, kama hufurahii ulichonacho, au huna uhakika katika kuendelea nacho, …

0 62

Kila samaki  anao uwezo wa kuogelea lakini anahitaji mazingira sahihi. Kila kiumbe kina uwezo usiozuilika  kwa ajili ya kupata mafanikio maishani mwake, lakini kitu kikubwa anachohitaji ni maarifa na sehemu …

0 83

Ingawa tunaishi katika  hali ya kujilinganisha au kujifananisha , Hii hali itahitaji mafunzo makini ya ubongo, lakini kusema kweli unahitaji kuacha tabia hii mbaya ya kujifananisha na mwingine

0 63

1.Wanafahamu Umuhiumu wa mitazamo  mizuri. Ukiwa mtu wa mitazamo mizuri  hasa kwa kila kinachoendelea katika maisha yako, Kila unachovutia ni kizuri . Haushughuliki na mambo mabaya .Mtazamo wako ndio uchaguzi …

0 51