Posts in category

maisha na mitindo


Kitu cha mwisho ambacho watu wanahitaji wakati wa mahojiano au migogoro ni  katika kuingiza Upendo,  joto la upendo.

0 134

Watu wengi wanafikiri  kwamba  maisha hayana fomula , sio kweli. Maisha yana fomula yake. Ukitaka uwe tofauti na ulivyo sasa, ni lazima uifahamu fomula ya maisha.

0 98

Kiwango cha Imani ni kufanya kitu. Ni lazima kuchagua imani ambayo unaitaka kufanikiwa nayo.  Imani ya Nuru au Ya Giza. Masharti yanakuza imani ya mtu. Kumbuka kuwa Vigezo na masharti …

0 94

Umri wa kubuni unaweza kuwa unajulikana zaidi kuliko umri wa kweli wa kuzaliwa. Hujawahi kudanganya  kuhusu umri wako? mimi nimewahi  tena mara nyingi . Hata kwako jibu litakuwa Ndio. Na …

0 79

    Badilika Wala msifuatishe namna ya Dunia hii, Bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu . 1.Anza kujifikiria wewe mwenyewe kwanza ni tabia gani unayoitaka na ipi huitaki, Unao …

0 64

Nimekuwa nikiandika kuhusu mapenzi , upendo  muda mrefu sasa lakini bado sio kitu kinachoeleweka. Ni kitu ambacho  hakina fomula.

0 91

Kitu gani ni vitamini C Yako? Unahitaji nini?  Zoezi: Kuza Nguvu yako ya ndani. Kwa nini? 

0 59

Inawezekana hujawahi kutambua kabisa kuwa kila kitu kipo kwa ajili yako.Yaani Afya, furaha, amani, upendo, pesa, heshima ,hekima na mengine katika maisha . Mungu anasema kila kitu unachotaka,unachohitaji tayari unacho …

0 55

Mwisho mlango umefungwa na kelele zimekwisha. Nilikuwa chumbani mwangu ,Taa zimezimwa hakuwepo mtu yeyote.

0 64

1.Kutuma vitu  kwenye mitandao visivyokuhusu Usifanye mitandao kama diary yako 2.Kutotumia Maji ya Kutosha.

0 55