Posts in category

mapenzi na utashi


Kuna wanawake ambao hupenda watu wawathibitishe , wawapende ili wajisikie kuwa na nguvu, 

0 178

  Sielewi kwa nini umeacha kumitumia ujumbe mzuri , huenda una hisia tofauti si kama nilizonazo  kuhusu wewe, Lakini ninapata ugumu wa kuamini kuwa ni lini mahusiano yetu yatapata nguvu.

0 186

Nimekuwa nikiandika kuhusu mapenzi , upendo  muda mrefu sasa lakini bado sio kitu kinachoeleweka. Ni kitu ambacho  hakina fomula.

0 91

Kwa sababu mapenzi yaliopita sio mapenzi. Kila mtu anao aina hio ya upendo wa mazoea tunaoulinganisha na upendo mwingine. Uzoefu huu ulitokea wakati wa utoto, tukiwa  elimu ya juu, wengine …

0 116

Kitu” kufanya mapenzi ” kawaida ni kitu kizuri na kinahitaji hisia ambazo ni positive. Kufanya mapenzi ni raha. sweet. caring, na upendo mzuri.

0 184

Sio kwa  namna ambavyo mnakiss Sio kuhisi utamu kama asali Sio kujihisi kama uko hewani wakati uko chini kawaida

0 114

Zipo njia 5 Ambazo zinafanya  mahusiano kuwa mazuri na maisha kuwa mazuri. Wote tunahitaji maisha mazuri. yenye furaha, nguvu, na upendo.  na wakati huo huo tunafikiri tunaweza kufanya hivyo  peke …

0 104

Tunatakiwa kujisalimisha au kubadilika? I love you with lemon and salt, Nakupenda jinsi ulivyo, Hakuna sababu ya kukubadilisha hata kidogo.

0 46

Tunatumia muda mwingi sana kutaka kujua kama mtu  tunayempenda kama na yeye anatupenda, hio inatufanya kusahau jinsi  ya kufurahia mapenzi jinsi yalivyo, wakati uliopo. 

0 141