Posts in category

mapenzi na utashi


Anasema , ”Nakupenda” ”Nakupenda zaidi” Unajibu. Nakupenda zaidi ya zaidi. Anasisitiza. Wewe ni mrembo. you are amazing.

0 59

Bado nahisi kutopendwa, kutothaminiwa, kutounganishwa, kutojaliwa. Kushughukia mvutano huu kati ya kilichotokea  na kitu unachotaka.

0 59

Tumekuwa tukiongea zaidi kuhusu  uongo uliopo, kwamba urafiki wa kimapenzi  una madhara, Lakini ndio hivyo?  Na hatuongea hivi?  

0 55

Upendo usio na masharti Hautokei tu vyovyote.  Mwanzoni mwa mahusiano ya kimapenzi, upendo wa juu unaokuja kwako  na  kukufanya ujisikie kumpenda mtu. Upendo huo ni Upendo wa tofauti.

0 46

Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi  ya kuongea kwao au kusema majina yao. …

2 99

Huenda umeniambia aina tofauti ya mapenzi, Aina ya mapenzi ambayo Hayapo kabisa Ulimwenguni. Aina ya mapenzi ambayo hutokea mara moja tu katika maisha, Aina ya mapenzi usioweza kusahau.

0 37

Ipo siku utakutana na mpenzi wa maisha yako,  wakati ambao hukutegemea. Haijalishi umekuwa single kipindi chote cha maisha yako au umekuwepo kwenye mahusiano ambayo yalikuumiza kwa muda wote.  Haijalishi unajiona …

0 53

Wakati mwingine unaweza kuwa single kwa muda mrefu kwa sababu ya kuogopa  na kutokutambua mtu ambaye anaonyesha upendo wa kweli kwako. Upendo ambao unaufanya kwa ajili yako unatosha na unajipa …

0 68

Unaonyeshaje Upendo wako? Unataka upendwe kwa njia ipi ndani ya mahusiano yako? Kama wewe ni mmoja wa watu kama sisi, ambaye unaangukia kwenye baadhi ya lugha hizi  mojawapo za mapenzi …

0 78