Posts in category

ndoa na familia


Muda wowote familia  inapokutana na mwingiliano fulani  hubadilika.

0 81

Chombo chochote kisichokuwa na vishikio  hakiwezi kubebeka. Mfano beseni lisilo na mashikio yake hutaweza kulibeba.

0 64

Nimekuwa nikiandika kuhusu mapenzi , upendo  muda mrefu sasa lakini bado sio kitu kinachoeleweka. Ni kitu ambacho  hakina fomula.

0 91

Kuamua kukaa au kuondoka baada ya kukamatwa kwenye uzinzi. Kugundua kuwa mwenza wako anakusaliti  mara nyingi ni maumivu ambayo hayavumiliki, Hasa kama mtu hana upendo wa kutosha. Mwenza sio mwaminifu.

0 46

Hapa Kuna perfect solution. Najua umesahau. Inatokea kwa watu wengi.  Sikukuu na matukio mengi yametokea, nani alikuwa na muda,  Je na mwenza wako?  Mmmm, huenda sio kwa ajili ya kutaka …

0 60

Inashangaza jinsi Mungu alivyomuumba Mwanaume, Na Inapendeza jinsi alivyomtengeneza mwanamke!

0 91

Kusudi la Mungu katika ndoa na umuhimu wa mafanikio katika ndoa. Ndoa ni Mafanikio ya watu wawili. Kuoa Na Kuolewa. Familia ni kundi lenye wazazi, watoto na ndugu wa karibu …

0 131

Kizazi hiki sasa hivi wanajali  sana tiba ya ndoa, au ushauri wa wanandoa, kwamba unaboresha  Afya, Furaha, Nguvu na utendaji bora.

0 80

Kwa nini kujaribu na kujaribu kwa bidii kukaa kwenye mahusiano  yasio na upendo na ambayo hayana Furaha, lakini  unakaa kwa woga. Uchumba kwenye jamii siku hizi ni mgumu,  ni kama …

0 55