Posts in category

pain


Ulipovunjwa moyo Akili yako ilikutaka uwe unakumbuka maumivu tu kila wakati. Maumivu ya hisia ambayo yanatokana na kuvunjika moyo yanasababisha magonjwa makubwa yasiotibika. Kwenye hatua hii huwa hakuna mtu anayehusika, …

0 60

Nyenzo tatu  za kukusukuma kuondokana na maumivu na kuweza kusonga mbele. Fatuma amekuwa mpweke tangu alipoachana na mume wake mwaka uliopita.

0 83

Nashukuru, Lakini Hapana. Kama uko single lakini unahitaji mtu wa kuwa nae, wakati mwingine  utapata  rafiki ambae huhitaji kupata faida  inaweza kuwa ni jibu  la muda lililo sahihi.  Kuna kitu …

0 77

Kama hujawahi kuumizwa na mtu fulani, ukaumia ndani kabisa,  inawezekana unatembea na hayo maumivu ndani ya mwili wako-hata kama ilitokea miaka iliopita

2 77

Ni wale tu wenye migraine ndio wanaojua maumivu haya jinsi yanavyosumbua , kubaki na haya maumivu kwa miaka mingi, naweza kusema kwamba wanaosumbuka na  wanaumia sana.

0 56

Watu wengi  hawana bahati ya kuwepo kwenye mahusiano ya kudumu, ingawa kuna msemo usemao kuwa , kuolewa ni bahati na sio lazima. Ni kweli kabisa kuolewa ni bahati. maana ingekuwa …

2 271

  Kwa kawaida tu penye mahusiano ya watu wawili kuna maelewano ya kawaida , na kuna kutofautiana pale mmoja anapokuwa msaliti kwa mwenzake. Wenza wengi wamekuwa wapweke kwa sababu ya …

0 991

Sijui kama unaelewa kama dunia ya sasa imebadilika kiasi kwamba   huwezi hata kumsaidia mtu  au jirani  pindi panapotokea tatizo.  unaweza ukawa unapita sehemu ukaona mtu anapigwa lakini ukashindwa kumsaidia …

0 49

kuongezeka kwa maumivu  ni pale mtu anapokosa utulivu, maumivu ni  dalili ya kitu fulani kilichopo ndani ya mwili  ,au ambacho kipo kwenye akili ya mtu.ni kitu ambacho kina tatizo kubwa …

0 49