Posts in category

Talaka na upweke


Wapo watu unaowafahamu , wa kawaida na hata wale wanaojulikana , watu maarufu, wakati mwingine wanajikuta kupitia hali hii ya upweke na kujiona kama wametengwa.

0 145

Ni rahisi kuliko unavyofikiria. Hata kama umepotelewa na mtu uliyempenda sana,  Au Umekatishwa tamaa, Huzuni haikubaliki  kila mahali. lakini kabla ya kutibu twende tuone huzuni inatokea wapi.

0 82

1.Maumivu yapo. Maumivu hutokea mara, ni kitu kisichozuilika, ni sehemu iliyoumizwa na inahitaji utaratibu wa kupona,  Ili kusonga mbele kutokana na hisia za kuumizwa itabidi utambue  aina ya maumivu. Machozi …

0 57

Wakati mwingine natamani kama shida zangu zisingekuwepo.  Natamani kama matatizo yangepotea mbali,  Wakati mwingine naona kama siwezi kuyaambia yaondoke.

0 62

Jifunze jinsi ya kuondoa vizuizi na kuachia wengine waje kwako. Katika kupambana na upweke  katika Ulimwengu huu,  Ni moja ya hisia  yenye ngumu  zaidi ya kuwa peke yako, unaweza kuwa …

1 94

Nilipoanza maisha yangu baada ya kutengana na wewe siku kadhaa, niliamka nikiwa sina kitu , baridi, upepo , maumivu  yalikuwepo ndani ya kifua changu. Mwili wangu ulikuwa mnyonge, Akili yangu …

0 65