Hayakuwa Mapenzi Ya Kweli


Love-vs-Logic-1024x576 Hayakuwa Mapenzi Ya Kweli

Kwa sababu mapenzi yaliopita sio mapenzi.

Kila mtu anao aina hio ya upendo wa mazoea tunaoulinganisha na upendo mwingine. Uzoefu huu ulitokea wakati wa utoto, tukiwa  elimu ya juu, wengine iliwatokea wakiwa miaka 20. lakini  utakuta mtu anakumbuka kama ilikuwa jana tu.

Hali hii inakufanya ujisikie kupotea  kwa mtu huyo na kujiona kama umekaa mahali pa utulivu baada ya kazi nyingi za kutwa nzima.

Nimewahi kuwepo huko, chini ya hilo jambo , inakupotezea njia sahihi, inachoma moyo .  Hali hio inakufanya ujisikie kama mtu asiokuwepo, asiyeonekana. matatizo yako yote huondoka angalau kidogo. Kwa sababu ilikuwepo kwenye  kuondokana na wivu, pamoja na utegemezi. Kitu ambacho kinanifanya nijiulize maswali.

Ilikuwa Upendo kweli?

Miaka 44, Sijajua kama nina uzoefu , Nina maana nilifikiri nina uzoefu wa kutosha  mpaka nilipokutana na tabibu wa mahusiano, nilijua nina uzoefu kumbe nilikuwa mtu ninayekataa  hisia za kweli na muunganiko wa kweli, ambao  niliwahi kupata kwenye sex ya kweli.

Lakini mapenzi ya kweli ya watu wazima,  mapenzi ambayo  sio tegemezi, mapenzi ambayo sio ya kusababishwa, sio ya kuandikwa, au kutengenezwa, mapenzi yaliokuwa na kulindwa, mapenzi ya mawasiliano, mapenzi yaliokomaa kama  wine nzuri. mapenzi ya ukomavu. mapenzi yanayokuja na  jukumu na kutambulika wenyewe. mapenzi ambayo yanawaleta pamoja. mapenzi ya usalama. mapenzi ya utulivu. slow kissing, love making. mapenzi yasiohesabia. mapenzi yaliofungiwa na udadisi. mapenzi yasiolinganishwa. mapenzi yenye layer ya kutosha. mapenzi  yenye sumaku ya kweli.

Nafikiri nilikaribia miaka kadhaa iliopita.Lakini sidhani kama nina uzoefu wa urafiki wa kimapenzi. Nina maana nilipenda kwa bidii. lakini kuna tofauti ya kupenda kwa bidii na  uzoefu wa mahusiano mazuri ya watu waliokomaa. Hii haitakiwi kulaumu mtu mwingine. Huenda sikuwa tayari au sikuwepo mahali hapo.

Kwa hio ni vizuri kuanza kulinganisha mapenzi ya zamani na ya sasa ya vijana, mapenzi yanayotengeneza kipimo kwenye moyo wa mtu. mapenzi yaliopo siku za leo? Bila shaka sio vizuri. Haya ni ma apples na machungwa.

Hapa kuna jambo lingine

Kama ukikumbuka  ugomvi uliokutokea siku nyingi. Kama ukirudi nyuma wakati unasoma sekondari.  kama ukirudi nyuma kukumbuka mahali ulikozaliwa na kukulia. Unagundua nini? Kila kitu ni kidogo, kwa nini? kwa sababu kumbukumbu ya vitu vyote hivyo  ilitazama kwa macho madogo. Lakini mtu aliyekomaa , kama ukikumbuka hivi vitu , bado vitaonekana ni vikubwa kwa sababu kumbukumbu hizi zilianzia tangu ujanani kwenye macho yako ya ujana.Kumbukumbu hazibadiliki hata kama utajaribu kufanya hivyo.

Ni Sawa Na Kwenye Mapenzi

Wengine wana bahati ya kutambua gap iliopo ndani yao  na kujiunganisha na upendo wa kweli waliokuwa nao tangu ujana kulingana na muungano uliokuwepo kati yao. lakini haifanani na kitu ninachoongelea.  Hii ni kama kuangalia movie ambayo uliangalia miaka kadhaa iliopita , halafu unakuja kurudia tena, hakuna jipya kila kitu unakuwa unajua kilianzia wapi na kuishia wapi. Kwa sababu  ule uzuri haupo tena, kutamani kujua nini kitatokea. Kwa sababu wewe ni mtu tofauti sasa na kinachokusogeza wewe ni tofauti.

Nimesema  watu wa aina hii wana bahati.  kwa sababu wengi hatuna uzoefu huu. kwa hio tunabeba mapenzi ya zamani  vichwani mwetu na kulinganisha na mahusiano ya wengine. Sio sahihi hata kidogo. Kwa hio tunaishia kukimbizana na kitu ambacho si sahihi.  tunakimbiza kumbukumbu. Sio Mapenzi ya kweli.

Mapenzi ya yaliopita hayakuwa mapenzi. yalikuwa ni kufurahishana maungo. kuchanganyana.  kuziba  matundu.  yalikuwa ni ya kujifunza.  kutafuta uzoefu. kujigundua.  Haukuwa upendo wa kufahamu. mapenzi ya majaribio. Msukumo. mapenzi yaliopita yalikuwa ni ya kuharibu. Hayakuwa mapenzi ya kweli.

Mapenzi Mapya Yana Nafasi.

Kwa hio acha kulinganisha mapenzi yaliopita, yalikuaje.  Acha kushikilia mapenzi yaliopita kwa sababu hayahitajiki hapa.  Yamepita, yasafishe.  Uko tofauti leo. Unachokitaka na kinakuvutia ni tofauti. Hakiishi kichwani mwako. kinaishi hapa sasa hivi. Jifunze ndani yake.  Ishi nao. Kula nao. Tembea nao.  Tengeneza mapenzi  yenye uzoefu mpya  . Mapenzi yasiofanana na ya mtu yeyote.

Subscribe. uweze kupata mafunzo zaidi.

 

Previous Kanuni Za Imani Katika Matendo
Next Vitu 6 Hutokea Wakati Mtu Unayempenda Hutaweza Kuishi Naye

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.