Inaonyesha kuwa ushauri una mapana Duniani siku hizi. Mojawapo ya ushauri huo ni Uzingatiaji uliopo kwenye uhuru na picha kubwa inayofikiriwa. Kutokuafikiana , na kumpa mtoto uhuru wa kujieleza bila ya kuwa na woga wala kulaumiwa.
Na yote hii ni nzuri. Lakini kama ukiunganisha na technolojia mpya , michezo, na luninga—itaacha chumba kikubwa kwa ajili ya mzunguko wa tamaduni zetu ambazo zina nafasi kubwa ya malezi kwa miaka mingi sasa.
Lakini Utafiti unaonyesha kuwa , katika maendeleo ya watoto, changamoto hizi mpya za uzazi na mitindo inayoonyesha mzunguko huu wa mila mbalimbali, mfano, mzunguko wa madarasa— unaweza kusaidia watoto kuboresha udhibiti wa akili zao na kujitawala . kitu ambacho ni ufunguo wa mafanikio watakapokuwa wakubwa baadae.
Ni vizuri kuwafundisha kuwepo kwenye makundi ya kijamii, kuwafundisha kazi za kijamii, kuwafundisha kuwa na uhitaji mkubwa wa kufanya vitu vyenye maendeleo.
Kwa Hio Tunawaleaje watoto ili waje kuwa watulivu?
Watafiti waliamua kufanya kitu . kikundi cha watoto waliofanya vizuri kwenye masomo na kujidhibiti wao wenyewe. Jaribio la kwanza ni uwezo wao wa kukubali maagizo, kwamba kushika vidole wakati wanapoambiwa kushika magoti yao. Jaribio la pili waliambiwa kama wataweza kuvumilia wasile kipande kimoja cha chocolate kwa muda wa dakika 15, wangekubaliwa kula vipande vitatu vya chocolate.
Hii ilikuwa ni kupima nguvu ya watoto ya kuvumilia na kujidhibiti. Baada ya hapo watoto wakawa wamegawanyika makundi mawili. Kulikuwa na kikundi kimoja ambacho kilifanikiwa kuvumilia na kujidhibiti katika mzunguko wa muda wa kipindi mara mbili kwa wiki.
Lakini kulikuwepo na kikundi ambacho hakikuweza kabisa kuvumilia kubaki na kipande hicho cha chocolate kwa muda wa dakika 15, na hawakuweza kuwa na kumbukumbu ya maagizo waliopewa na walimu wao.
Baada ya miezi miwili, walifanya jaribio tena , na matokeo yake yalikuwa , kile kikundi kilichoweza kuvumilia na kujidhibiti kilionyesha kuboreka zaidi kwenye mzunguko huo.
Kwa hio ilionyesha kuwa kuna watoto ambao wanaweza kuwa makini, wanaoweza kukumbuka maagizo, na kupata mafanikio zaidi. Na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi mazuri, kitu ambacho kila mzazi angependa mtoto wake awe hivyo.
Ndio maana basi tupo watu wa aina nyingi, wapo wasioweza kuvumilia na wala kukumbuka maagizo , na wale walio makini na wenye uwezo wa kuvumilia.
Jukumu lipi linaloendelezwa katika malezi ya sasa?
Mzunguko ambao umepitwa na wakati, ni mila ya kukaa kwenye mkeka na mwalimu, kujifunza ngoma , na kuiga matendo yao na mapenzi yao .Kulingana na uchunguzi , kuna kitu katika kuafikiana na usikivu kwenye mzunguko huu uliopo, kitu ambacho kinafanya vizuri kuboresha njia bora ya watoto kufanikiwa katika kujidhibiti na katika uvumilivu.
Hii ina maana kwamba , mzunguko huu wa zamani sio mzuri kwa mtoto anapokua , na kwenye maendeleo yake, Lakini pia ni vizuri kuthamini tamaduni zilizopo ndani ya wazazi wetu. Ni muhimu kumkumbusha mtoto utamaduni wenu, hata kama atakuwa na maendeleo makubwa , lakini siku zote akumbuke alikotokea. Afahamu shina hasa la kwake ni kitu gani. Ili aweza kuthamini vya nyumbani.
Washirikishe wengi wajifunze. toa maoni yako.
No Comment