HII NDIO HASWA MOYO WAKO UNAHITAJI KUSIKIA


53612-Drake-Quote-Boys-will-break-your-heart-Real-men-will-pick-up-the-1024x576 HII NDIO HASWA MOYO WAKO UNAHITAJI KUSIKIA

Wakati Ulimwengu unapolia ndani yako na kukuacha na mpasuko wa wema, wakati ambapo unaona ulimwengu haukufanyii haki, Nataka Ukumbuke hili kuwa, Unahitajika

Wakati wanapokudharau na  kukucheka  na kukufanya ujisikie kama  uko tofauti na  huna umuhimu, Nahitaji ukumbuke kwamba  una umuhimu sana  kwa hayo maumivu magumu ni ya kibinadamu. Uwepo wako sio wa bure, ni wa muhimu kuliko unavyojua.

Unaona, moyo wako laini, uelewa wako,  haijalishi ni mara ngapi wamakukatalia, ndio sababu kwa nini wema bado upo ulimwenguni. wewe ni mtu ambaye watu watarudi kwako muda utakapofika, wanapokuhitaji. moyo wako mwema ndio unaohitajika kwa wale ambao  wanakuwa na maumivu wakati wanapokuwa na mabaya. hii ndio maana unahitaji kulindwa. Naamini kuwa wema ni kitu adimu sana ulimwenguni kwa sasa, na ni chanzo muhimu kwetu. na kama kuna mtu ana hisia  hizo ni  dhahabu  iliopo ndani yake.

quote-if-your-heart-has-grown-distant-from-allah-the-real-question-is-who-moved-boonaa-mohammed-81-67-60 HII NDIO HASWA MOYO WAKO UNAHITAJI KUSIKIA

Ingawa , Maisha ya moyo wa aina hio  mara nyingi ni ngumu kuliko .mashuleni,  watoto ni wajeuri na walimu  wanapatwa na mihemko zaidi ya hasira.Wazazi wanaweza kukuambia uwe imara kwa sababu Ulimwengu  ni mahali pagumu. Lakini bado utakuwa huelewi ,kwa kuwa hujakutana na changamoto za kutosha.

Utakuwa unawaona wengine ambao wana maumivu au kuumia  na kujaribu kuwasaidia. Bado utakuwa hujaelewa kwa sababu  halijafika kwako. Bado una moyo laini ambao unaumizwa na maneno  ya kuchukiza  yanayosemwa vibaya na wengine . Yanakufanya ujitahidi kuwa mzuri kwa watu,  yanakufanya uelewe kiasi gani wamebeba mzigo.

Hii kutokujua ndio kitu ambacho unatakiwa kukilinda ndani yako.Usitake Ulimwengu ukubadilishe. Usiruhusu mtu yeyote akubadilishe jinsi unavyojisikia. usiwe mgumu. endeleza wema wako. hicho ndicho kinakufanya uwe wa ajabu.

Acha comments zako hapo. washirikishe wengi facebook

 

 

Previous AMANI INAKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO YA MALENGO YAKO
Next Mpenda Mtu Ambaye Anakupenda Nyakati Mbaya

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.