JINSI NGONO ILIVYONISAIDIA KUGUNDUA NINA MATATIZO YA KULA .


 

Couple-heureux JINSI NGONO ILIVYONISAIDIA KUGUNDUA NINA  MATATIZO YA KULA .

Nakumbuka  jioni ile  tulivu kabisa, nilikuwa chuo. Nilikuwa na boyfriend wangu kwa muda wote wa masomo yangu, kwa umri huo,
tulifanikiwa  kuwa na mahusiano mazuri yaliodumu kwa muda mrefu, na tuliishi pamoja. Tulifanya vitu vyote pamoja. Na kila kitu kilienda vizuri. Mahusiano yalikuwa ni  tabia ya pili.

Siku moja usiku, wakati tuko katikati ya kuandaa chakula, akaniambia  kuwa anavunja mahusiano yetu. Yani  kama hivyo. Kwanza sikumwamini . kiukweli, nilicheka sana na kuona kama ananitania , nikarudi kuendelea kutengeneza chakula.

‘’Rose ninamaanisha’’ aliongea taratibu lakini  kiasi fulani alisita kujibu.

Nilizima jiko na kurudi ili nisikie vizuri, kitu ambacho ilikuwa kikubwa kidogo, na hakuwa mtu wa kutania  nilimjua  hata hivyo.

Moyo wangu ukashuka .mafua yakaanza kunitoka.

Kuanzia siku hio na kuendelea, nilihisi nilikuwa  ndani ya maono. Sikuwa nafikiria kama niko nje ya mahusiano.  Mpaka siku hii, upande mwingine  bado nafikiri alikuwa anatania tu. nilikuwa kwenye mshituko  wa ajabu  lakini usioonyesha.

Mpaka hivi hilo tukio, sikuweza kulifanyia kazi  katika maisha yangu. Kuvunjika kwa mahusiano ghafla,  nilianza kukimbia  kila siku , hata sikujua ni kwa nini .

Nilikuwa nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam. Na bahari ilikuwepo mbali kidogo,  lakini nilikuwa nikipata nafasi naenda  kupunga upepo huko na kuogelea.kwa kuwa nilikumbuka kwamba nilisoma  mahali  kama unapata shida ya huzuni, mawazo , ni vizuri ukafanya mazoezi na kwenda sehemu zenye watu wengi wanaofurahia .

Miaka ilikimbia ,  miaka miwili baadae, nilipoteza  sio tu kumpoteza mtu wangu wa kwanza , bali nilipoteza  poundi 50 za uzito wangu  kwa muda huo tu. Nikawa nafuatilia  mazoezi na  kuwa makini na chakula ninachokula. Nikaona kuwa kila kitu kinachotokea  ulimwenguni ni sahihi.

NILIKUWA NIKIISHI MAISHA YA KUJINYIMA NA YA MADHARA.

Kama nikiruka  kufanya mazoezi kwa siku , au nikila chakula kingi , yote ni kuzimu ningevunja na kupoteza mpango wangu au ndio akili yangu ilivyokuwa ikifikiri na kuamini. Lakini niliweka  adabu ya kula  ili  kuepuka  hatari  na kuwa na mtindo mzuri wa kula.

Baada ya chuo, nilichagua  kujifunza Yoga ili kuuweka mwili wangu vizuri na kuwepuka  ngono kwa umri  nilionao  mpaka hapa nitakapoamua. Nilikuwa na miaka 21.

Licha ya kuponya mali, bila shaka yoga inajulikana kwa kuwa na limit  kwenye chakula na mazoezi yenye nguvu, kwa maneno mengine .  akili yangu  ilionyesha mbio ndio pekee nipendacho.

Wakati huu, nilihudhuria  sehemu ya mafunzo ya  lishe ambayo yanadhibiti ulaji mbaya  . nikajitune, nilijifunza mengi  na  yalinivutia sana, nilikuwa bado naumwa. Kwa kweli. Niliweza kujificha katika yoga na  lishe.

Yoga ilikuwa ni sababu,  ndio nilichagua na ikatokea, na nikajifunza kuwa  chakula bora ni ghafi kwa afya , pia nikajifunza kutafakari , na kupata vitamini ya asubuhi ya jua niwezavyo.

Bila kuingizwa , kwa muda wote niliishi maisha ya  hofu kila nikitaka kulala usiku., ukweli niteseka  na ukosefu wa usingizi tangu nilivyokuwa sili vya kutosha. Kitu kimoja kilichotuliza akili yangu ilikuwa ni kusoma , hasa vitabu vya meditation , yoga na vya kiroho.

KWA UPANDE WANGU KUJAMIANA ILIKUWA NI KAMA  DAWA YA ZIADA NILIOHITAJI.

47837056-Black-couple-having-a-conversation-at-a-cafe-outdoors-in-the-spring-Stock-Photo JINSI NGONO ILIVYONISAIDIA KUGUNDUA NINA  MATATIZO YA KULA .

Sikujua kama ni vitabu vya kutafakari  kwa muda huo  vilivyoongelea, maisha ya kawaida , kama vile  kusikia, kugusa, kuona, kunusa, na kuonja. Sikujua mwanzo kama vinaongelea hivyo, vilinijenga katika mambo mengi   hasa wakati uo nilivyoishi kwa kujinyima  kwa ukali.

Sikuwa mjinga, hata hivyo. Nilifahamu  nilikuwa niko  mwembamba sana na kulikuwepo kitu fulani katika kujamiana. Nilipoacha kupata hedhi  na  hapo nikapoteza mvuto kwa kila kitu zaidi ya kuwa makini katika chakula nilichokulakwa hio hapakuwa na  hamu ya sex  wala mahusiano , nilijihisi nilikuwa nyuma, lakini kidogo nilichofahamu ni kwamba  kujipenda kwangu ndio dawa  niliohitaji.

Haikuwa inahusu chakula, nilijaribu kula zaidi, kula nyama, mazoezi kidogo, niliwaona waponyaji na madactari  lakini haikusaidia kitu.

Niliamini kwamba nilikuwa nikifanya vitu ambavyo ni vya aibu kwa umri wangu ,sio tu kwa kuachwa , lakini toka mwanzo wa maamuzi ya kuwa na boyfriend pia.nilipenda kujamiana nikiwa mdogo lakini sikuwa najua chochote , wala kusikia kitu. Nilitumia mwanaume, sio  hivyo,  niliona mwili wangu kama chombo, ambacho hakina umuhimu wa kuishi. Sikuwa nafahamu kabisa mapenzi ni nini. Na wala sikujua kujipenda .

Nilipoondoka   chuo nilikutana na  mwenza nilie naye, huenda kila mtu alikuwa katika kutafuta mahusiano, bado vitu vilikuwa vinatokea kwa njia ya  uadui.

Ni mwalimu wa yoga, meditation, sexological bodyworker,na  ni mwalimu wa mahusiano..

Upole wake na  uelewa wake unanifanya nijione  kuwa niko katika mazingira salama, pamoja na msaada alionipa katika  mawasiliano na kujipenda, nilikuwa tayari kukubali hatua kwa hatua.

Urafiki wetu, uliendelea vizuri, sikuwa na utashi wa chakula tena, kusema ukweli matatizo yangu ya kula imekuwa kama ni ndoto .

Sasa ninaona mguso , na hamu ndani ya mwili wangu, dalili za kawaida zenye nguvu ya kujamiana,  nguvu ya maisha. Ndiko huko kila mmoja wetu alikotoka labda tuharibu wenyewe, ni vigumu kuishi maisha ya ukamilifu. Kila kitu kinakuwa sawa. Ni mwisho wa lishe.

NILIPONA MWENYEWE , LAKINI MWENZA WANGU  ALIKUWA CATALYST.

Na ukweli kama hutatumia , utapoteza,  ni raisi sana kukwama kiakili na wanaphilosofi wanaongea . na kama tunataka kuponya miili yetu, urahisi ni kupitia mwili. Ni lazima iwe ni mazoea ya kawaida.

Utapia mlo unaotokana na kutokula au kula sana vyote vinafanana,  vinaleta kukosa nguvu na kuwa na magonjwa  ya ajabu .

Nishati ya ngono ni utemi ambao unaitaji kuilisha  kwa ajili ya afya , utajiri na  ya muda mrefu.

Sasa, tafadhali  usisome vibaya , ukaelewa vibaya, kwa kuwa siungi mkono kuwa mahusiano yangu ndio yalioniponya. Nilipona mwenyewe. Lakini mwenza wangu alikuwa ni catalyst. Inawezekana ilikuwa ni muda sahihi, nilijisikia vizuri, kwa muda huo , nilipumua vizuri, lakini sanasana  kuwa mwenyewe.

Mwenza wangu aliendelea kunisaidia  ili nizoee kuwa mwenye furaha  na kuona kuwa napendwa, sikuwa hivyo, maana nilikuwa kinyume chake,nilikuwa na mipaka yangu  kwa sababu nilijiamini mwenyewe.

Niliamini  hamu yangu, mwili wangu, msukumo, kujinyima  ilinisababishia  kuondoa connection. Kuwa mwenyewe   niliona kama najitosheleza kimwili na kiakili.

Diary yangu imejaa mafunzo ya jinsi ya kujipenda mwenyewe kwanza katika safari yangu binafsi, imekusanya mafunzo ya yoga  na dawa. Hili zoezi limenigusa mwili wangu,  mawazo yangu, hamu yangu ya kweli .

Zoezi la meditation limeniunganisha vizuri na moyo wangu na  kuniambia jinsi ya  kusonga mbele katika nia nilionayo, lakini kwa ufahamu. Kuja kwa ufahamu wa binafsi ni kuwepo na kujikubali mwenyewe.

 

umependa makala hii? shirikisha watu wengine wajifunze.

 

 

Previous NI MAMBO YA KUSHANGAZA KABISA KWENYE UBONGO UNAPOKUMBATIA NA KUKUMBATIWA ;
Next New Apple iPhone SE: the 4-Inch Smartphone

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.