JINSI YA KUJIKITA KWENYE TAFAKARI UNAPOKUWA HUNA MUDA KABISA.


getty-483712175-womandoingdishes-DougalWaters JINSI YA KUJIKITA KWENYE TAFAKARI  UNAPOKUWA HUNA MUDA KABISA.

Kwa wale wenzangu wanaofuatilia namna ya kutafakari, (meditation)  na hata wale ambao bado hajaanza kabisa , tujifunze kupitia hapa , huyu mtu alivyofanya na kupata mafanikio .

Kwa miaka nane, nimeishi kwa utulivu, kwa amani na majirani walionizunguka kawaida. Niliishi karibu na bahari  na nilikuwa nikienda kutafakari kwenye mlima  mmoja ulipo karibu na kwetu.

Siku zangu nne za retreat, nilipewa kazi ya kusafisha vyombo baada ya chai  kwa watu 40 waliohudhuria hio retreat. Kulikuwa na sahani na sufuria na mabakuli yaliojaa kwenye sinki. Mengine ya kusugua, na mengine ya kusafisha kawaida. Wenzangu  walikuwa sinki la kwanza  na mimi nilifuatia.

Nilikuwa makini na nilitulia  naosha kila  chombo,  kuhakikisha  napumua  ndani  na kuchukua muda wa kuhakikisha kila chombo  kinakuwa safi , mtu kaja kuniletea  stress.

Unafanya nini? Aliuliza  na kuosha mikono yake,  lakini fanya haraka. Alisema , kama hutamaliza mapema hatutapata lunch leo.

Ndio hapo nikagundua.   Tunaweza kufanta vyote haraka na kwa kutulia.

Nilijifunza pia  kwamba wakati  vitu kwa kutulia, sikuwa hata nimekaa na kutafakari ili kupata amani nilioitaka. Kumbe naweza kufanya tafakari  hata kama niko  bize  na mambo yangu.

Kisha nilihama  nikaenda  Nchi nyingine. Maisha yangu   na mtindo  wangu ghafla  ukabadilika na ilikuwa somo kubwa  ilipokuja katika  zoezi langu la kutafakari, mara  nikaamua kuanza  zote tafakari za haraka na taratibu katika maisha yangu.

Hapa kuna mambo  5  unaweza kufanya kuondoa  stress kabisa  unapoanza  mtindo mpya  wa kuanza tafakari za haraka .

Unapokuwa na haraka ya kwenda mahali.

Jisikie miguu yako,  kisigino na kidole , kisigino na kidolehii itaendeleza mwili wako mbali na kichwa , hasa unapokuwa na kazi nyingi na una stress, hiki ni kitu cha kukumbuka , kitakutuliza haraka zaidi.

Wakati unakula…..

Anza kuweka kitu cha kutafuna katika kila chakula unachokula, na utafune kwa muda kabla hujachukua kitu kingine, jinsi unavyoongeza ndivyo unavyotafakari . hii inakusaidia kupunguza uzito na kupata  mmeng’enyo mzuri ndani ya tumbo.

Pia inasaidia kurudisha  mawazo yalioshuka, yaliokuwa dhaifu , akili inapokuwa dhaifu, unapofikiria kwa ufinyu, inapunguza  huzuni, na husaidia  kujenga utulivu.

Hata hivyo sehemu mbaya ya kula chakula ni sehemu ambapo kuna T.V. , Inasababisha  tule chakula kingi na tunaharibu miili yetu

Unapopanga vitu vyako.

Sio mwanzo , katikati,  na mwisho wa  kukaa  na uwepo ili kukamilisha hatua za vitendo. Jinsi unavyokaribia  hatua ya ushindi, tambua.

Ninaanza kufanya——————-

Nipo katikati ya ——————

Nimemaliza kufanya————-

Hii inakufanya uwe karibu . inatunza uzalishaji na  kuondoa makosa .  kazi ni zaidi ya kupita  na kutengeneza utulivu.

Acha kujivuruga.

Tunaweza kuwa na nafasi ya kusikiliza tv, redio, kuongea, kuseng’enya, kutuma ujumbe,  kwenye mitandao yetu . mara zote kuna kitu kinachotuvuruga ili tuwe bize.

Fanya kitu unachotaka kimalizike-kazi yako- mafanikio yako- muda wako na familia yako- bila ya masumbuko mengine yanayovuruga , jifunze kukubali utulivu na utunze.

Utulivu sio kitu cha kuogopa, nikitu  cha starehe, . wakati mwingine kaa bila kuangalia tv.  Zima redio,  unapokuwa sehemu ya kutaka kutulia, hata simu unaweza kuweka mbali.

Unaweza  kujiwekea muda , na kuacha kila ulichokuwa ukikifanya wakati huo.

Angalia uzuri wa sehemu uliopo,  kwa akili zako zote, ukichunguza kwa makini na kutambua ukuu wa mungu, , vyovyote utakavyoona utatuliza akili.

Hisi kila kitu kinachokuzunguka, hewa,  kelele, harufu,  watu, vyote ingiza ndani mwako,  na tukumbuke ni wapi  tunakuwa na utulivu wa vitu vyote.

 

shirikisha marafiki na familia makala hii .

Previous TABIA 5 AMBAZO ZINAWEZA KUHARIBU MAHUSIANO YEYOTE.
Next KWA NJIA 8 NILIBADILISHA UHUSIANO WANGU NA CHAKULA & NIKASHINDA

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.