JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO


1-7-1024x515-1024x515 JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO

Bila shaka  kwamba kwenye maisha unaweza  kuondokana na masikitiko na tamaa au majuto.

 Kwa vile ni vizuri tunapoingia mwaka mwingine tuwe tumeweka mambo yetu sawa. Ni kweli unapita katika misukosuko mingi.

Lakini kwa jinsi unavyokua , ndivyo unavyoelewa zaidi thamani ya  faragha, siri ya kutengeneza  mzunguko wako na kuachia baadhi ya watu kuingia. Unaweza kuwa wazi, mkweli, na mwaminifu bado ukawa unaelewa kuwa sio kila mtu anastahili  kiti  kwenye meza ya maisha yako.

Hutaweza kuwa tajiri mpaka hapo utakapopata kitu ambacho pesa haiwezi kununua.

Shinda vipigo kwa ego yako

sad-guy-1024x705 JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO

Kubali kuwa inaumiza , lakini usijiumize mwenyewe kwa  ‘’kama ingekuwa hivi’’

Kama tunaweza kuchukua hatua ya hatari kwa ajili ya kupata  tunachohitaji cha kibinadamu, ingeshauriwa kwamba kutokana na ushindani wa kijamii inaweza  kuchelewesha madhara.

Kusababisha wengi wa watu wazima  kuwa na uzoefu wa misongo na wengine kuonekana  kuwa hawadhuriki na madhara hayo, hio ni kwa kibinadamu.Tofauti kati ya  binadamu na mnyama ni katika  ubinadamu. Yote hio ni kuhusu MTAZAMO; Tunaweza kuchaguza  tukio lenye stress au hapana. Tunaweza kujaribu kurudi nyuma lakini hatuwezi,  kutokana na kushindwa.

Zifuatazo ni mbinu kadhaa  za kukabiliana na  tamaa, masikitiko ,na majuto.

1 jenga upinzani wako.

2.Kubali kuwa   kuna maumivu

3Jifunze kutokana na uzoefu ili uweze kushusha nafasi yako ya kushindwa baadae.

4.Fahamu, na simamia, hisia zako

5.Tambua kwamba sio kila mtu  anaweza kuwa mshindi kila mara.

6.Usijisononeshe na kujipa adhabu mwenyewe kwa  kuangalia nyuma na kusema kama ngekuwa hivi!

7.Wapongeze walioshinda.

8.Tafuta njia mbadala ya  kujisikia vizuri mwenyewe.

Wale wanaoshindwa  hujiona  kama wamepoteza kwa sababu  hakuna kitu kingine ambacho wangefanya. Wewe.,Kwa hali yoyote ,unaweza kuendelea mbele na kutafuta njia   ya ambayo hukuwahi kupita bado. Na kupata mafanikio mapya unayohisi yatakupa amani.

Njia za kujitoa mahali ulipokwama.

38602404-Closeup-headshot-very-sad-depressed-stressed-alone-disappointed-gloomy-young-man-head-on-hands-havin-Stock-Photo-1024x682 JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO

Acha kuwaza yaliopita

Badilisha mtazamo wako

Anza na  mabadiliko madogo

Chunguza madhumuni yako. Kwa sababu  kusudi la maisha yako sio kazi peke yake,  majukumu yako au  malengo yako tu  ambayo yanakufanya kuhisi unaishi. Ndio muda mzuri wa kuchunguza . jiulize maswali yafutayo. Kitu gani kinakufanya uwe na furaha? Kitu gani nilichofanya miaka iliopita ambacho nakipenda?, Vitu gani nivipendavyo ninavyovifanya sasa?Nani alinivutia zaidi? Kwa nini najisikia vizuri?Nafurahia nini?

Jiamini mwenyewe…Acha kusema siwezi au sifahamu. Badala yake sema . .. Sijafanya hiki kitu bado. Lakini nakifanyia kazi , au kwa sasa sifahamu  lakini nitaweza.

Mazoezi ndio tumaini kubwa. Fanya Tafakari ndio msaada mkubwa,  Maombi,  kusoma vitabu vyenye kutia moyo. Na ufanye mara kwa mara. Natumaini sio hali ilioganda. Unahitaji kufanya hivyo kila siku.

Fikiria kuzungumza na mtaalamu.

Kama unaona  umeshindwa kubadilika katika mawazo yako,  fikiria kumuona mtaalamu  wa afya ya akili atakusaidia kufahamu kwa nini umekwama. Na utaweza kupata njia ya kutoka hapo. Kukwama inaweza kuwa ni tatizo la afya ya akili. Na tiba zake ni katika tiba ya kisaikolojia, madawa au kwa njia hizo zote

Kumpata mtaalamu ni njia ya  matumaini na  ni hatua ya nguvu unayoweza.

Hakikisha unasoma kila makala ya kisaikolojia kwenye makala hii .

80b36a7852de0097b16b6ca112ea9c3b JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO

Umependa hii makala? shirikisha wengi wajifunze.

 

Previous ZOEZI LA TAFAKARI LITAKUSAIDIA KUSHUGHULIKIA MABADILIKO
Next KUHUDUMIANA SISI KWA SISI

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.