jinsi ya kusimamia maumivu sugu:


kuongezeka kwa maumivu  ni pale mtu anapokosa utulivu,

maumivu ni  dalili ya kitu fulani kilichopo ndani ya mwili  ,au ambacho kipo kwenye akili ya mtu.ni kitu ambacho kina tatizo kubwa  na ni hatari , nakitu hicho kinahitaji UTULIVU mkubwa.,kuna watu wengine husema kuwa unatakiwa kudharau maumivu ambayo yanakusumbua, lakini hio sio njia  ya kuondoa  au kuponya maumivu na wala huwezi kuyaondoa.

maumivu mengine ni madogo  , ambayo yanaweza kuzungumzika na  kuondoa  tatizo . lakini  huondoka kwa muda tu  , nakisha hurejea tena endapo kiini cha tatizo hakikufahamika. Na kuna maumivu mengine ni makubwa  yanaweza kuwa ni ya kichwa kuuma au maumivu ya moyo , ambayo hayawezi kuponyeka kwa wepesi kwa kuongea  ,maana kuna kichwa cha kuuma bila kutulia , na moyo ulioumizwa  huuma sana.

kuna maumivu mengine huleta  hali ya kupasuliwa  , matibabu yake ni makubwa  na huwa na mahangaiko ya muda mrefu , na  inakuwa kama ni ugonjwa wa  ambao maumivu yake hayapotei , yanaendelea kutokana na ukubwa wa tatizo lenyewe,na hii inategemea nguvu au uwezo alionao  mgonjwa.

images1-300x150 jinsi ya kusimamia maumivu sugu:

ana maumivu makali ya moyo

 

 

 

ht jinsi ya kusimamia maumivu sugu:

 

 

ana maumivu ya moyo

 

 

 

 

 

images-27 jinsi ya kusimamia maumivu sugu:

 

 

 

maumivu makali ya kichwa

 

 

man_crying-292x300 jinsi ya kusimamia maumivu sugu:

 

 

 

 

maumivu ya kichwa ya kawaida.

 

 

 

Tuangalie jinsi ya kupambana na maumivu  haya , na dalili hivi mbaya  za woga wa maumivu alionao mtu. kuna njia nzuri za kujifunza  kuondokana na maumivu , hasa ukiwa katika hali ya utulivu, hapa ni kutumia  hekima ya kimungu  ili uweze kutawala maumivu wakati yakujiapo.

Unaweza kwenda kumuona tabibu kwa ajili ya matibabu, na ambaye ni mtaalamu wa maumivu , unaweza kupata msaada  wa kitabibu  na  ni mkubwa sana  kwa kuwa hakuna mtu anayetaka  kutibu   na baadae kurudi tena palepale na kwa tatizo hilohilo , sio kufanya mtu aogope  tatizo , ila kwa sababu ya kurudi mara kadhaa , vipimo zaidi vitafanyika ,na hapo ndipo inapoleta woga zaidi  maana utapima damu kubwa  blood picture, ili kupata majibu zaidi.kama ujuavyo unaweza kupata majibu ambayo hukupenda kuyasikia.

kiini cha maumivu

matatizo kama haya ya maumivu ya moyo , maumivu ya kichwa mara nyingi kiini chake ni : Hasira,kutosamehe, panic, uchungu, ghadhabu na kila namna ya ubaya . na wakati mwingine   hata ugomvi na ndugu , mume , mke , au matengano .vyote hivi ni  dalili mbaya ya maumivu. 

Ni bora  kujitahidi kuacha vitu hivi , na kujifunza kuwa na upendo  , ambao katika hilo hufunika mambo mengi  katika maisha  tunayoishi , .basi tujitahidi kuongea ili tupate msaada  ,maana ikiwa wewe ni mtu wa siri  basi maumivu yatabaki ndani yako , na tatizo litazidi kuwa kubwa . tuishi kama watoto wadogo, maana mara nyingi utakuta watoto wamegombana mara hurudiana tena kucheza pamoja.,

pamoja na hayo kuna watu wengine ni kutokuwa na uhakika wa maisha, haijalishi  una maisha ya jinsi gani , ishi uwezavyo, tena uwe mtu wa kuwaza mazuri  itasaidia kutokuwa na maumivu,. usiishi maisha ya kuiga , ishi maisha yako,unaweza kuwa na maumivu , lakini hayawezi kukudhuru kwa kiasi kikubwa

kwa hio utulivu na  malengo yetu ni  chombo ambacho kinatusaidia  jinsi tuwazavyo na jinsi tunavyoenenda, hata kama tutajikuta tunakwama  sehemu mbalimbali bado tutashinda .

 

Asante sana kwa uaminifu wako , naomba  mchango wako katika hili.

love youuuu..

 

Previous jifunze kutafakari juu ya maisha yako:
Next NJIA3 ZA KUPONYA MOYO ULIOUMIZWA

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.