JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI


cc0bcf17805ec25473b1d10a22363b48 JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda.

Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa kusudi letu. lakini wakati mwingine upendo  unaonekana hauwezekani . hapo ndipo imani inapotakiwa kuwepo.

Tunatakiwa kuwa na ujasiri wa kuchagua kupenda  muda baada ya muda hata kama kuna mazingira magumu. kitu gani kinawapa  watu uwezo wa  kupenda  wengine kama  wameshindwa? Ni Imani.

Mtu mmoja ambaye alipona  kutokana na kifungo.  Alisema,,

Nahitaji kuamua… kama nitawachukia polisi ambao wamefanya hiki… nilichokiona, mara nyingi,  kitu gani chuki ingeweza kufanya akili na miili ya watu. Chuki ameua watu ambao walikuwa ni muhimu kwangu hapa ulimwenguni.  Nimeamua hivyo kwamba  nitatumia maisha yangu yote, hata kama ni siku chache au miaka mingi, Kumpenda kila mtu ambaye nitakutana nae au kuishi nae au kuwa  karibu nae.

Imani ni uamuzi  wa kupenda hata kama huna hisia kama uwepo wa Mungu upo. Imani imejengwa kupitia uamuzi wa kupenda, Haijalishi mazingira uliyopo. Kwa kadri unavyochagua upendo. Ndivyo imani yako inavyokua.

Imani inatuongoza kwenye Amani ya baadae.Imani inapokuwepo zaidi ndani yetu, ndio urahisi wa kuishi na kupona unapokuwepo.

Ni rahisi kupoteza Tumaini  kwenye upside-down world. Unaweza kujiuliza , inakuwaje Upendo wa Mungu umewaacha watu  katika nchi yenye vita ,  mazingira ya chuki,  hakuna upendo, katika hali hii, inaweza kuonekana kama pointless– hata kuona kitu ambacho hakiwezekani. Lakini ni kinyume chake tu.

Upendo unaweza kuwa ni mgumu. lakini bila upendo, Maisha hayawezekani. Na kusema kweli, Ni kupoteza muda.

”Hatuwezi kuishi bila ya upendo. Tutabaki  na upungufu wetu kama hatakuwa na  uzoefu wa upendo na Kushiriki urafiki wa karibu wa kimapenzi”

1280x720-RKq-1024x576 JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Kama utaniuliza mimi, Nitakuambia. Upendo ndio kusudi kubwa .Ni mafanikio yetu ya juu sana.Na tunahitaji Imani na Tumaini ili kuishi katika upendo. Imani ni misuli ambayo inatuwezesha kuvunja  vikwazo, vizuizi, vinavyotufanya tushindwe kupokea upendo na kutoa upendo.

Haijalishi kuna giza la namna gani Ulimwengu unaonyesha siku hizi–Hajalishi kuna maumivu gani tunapitia– Tunza imani. Penda kama  ulimwengu unavyotegemea. Usipoteze nguvu kwenye tamaa. Weka imani kwa kila kitu.

Unapohisi huwezi kuendelea mbele, au huwezi kufanya tofauti, weka imani ndani yako. Unapoona kukwama sehemu, pumua imani yako. Dunia ya amani inategemea  upendo tunaotoa. hakuna mtu anayeweza kukuibia  uwezo wako wa kupenda.

Mwombe Mungu nguvu ya kupenda  kwa uwezo wako wote. kuwa wazi  na fahamu chanzo cha upendo ambacho kinakupitisha kwenye majaribu.

Uwe mwema kwa wengine. utaweza kupata nguvu ya upendo kwa kusaidia watu wenye mahitaji.( Muulize mama Teresa) Upendo upo pale , ni mahali pa kupata upendo, na ni rahisi  kuona pindi unapoamua kushiriki na wengine.

31451433_l-1024x890 JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Pata msukumo. Kubali  msukumo ukusaidie kuunganika na watu wenye imani . hudhuria semina  za watu wanaofundisha kweli, waliobobea, soma kuhusu maisha ya watu  ambao wameweza kuishi kwa imani .

Zungukwa na watu wanaokuvutia. Tulivyo ndivyo tunavyotumia muda wetu. kwa hio kama unataka kutembea njia ya imani ,  tembea na watu wenye imani kubwa kwa kadri uwezavyo. Chagua marafiki, chagua mtu wa kuwepo naye kwenye mahusiano na kazini kwako , watu wanaokupa changamoto ya kupenda.

36372-Mahalia-Jackson-Quote-Faith-and-prayer-are-the-vitamins-of-the-1024x576 JINSI YA KUTUNZA IMANI WAKATI MAISHA YANAPO ONEKANA HAYAWEZEKANI

Kila siku asubuhi jitazame ndani yako, lenga imani. Onyesha upendo hata mahali ambapo hapawezekani. Meditate imani. Hata wakati unataka kufanya maamuzi magumu, Tanguliza imani.

Kumbuka usitulie Kwa imani ndogo kuliko unavyostahili— katika kazi yako, katika mahusiano yako,  unapokuwa na changamoto zako.Kila mara jitahidi kuwa mkamilifu. ( Hata inapokuja kujikubali mwenyewe.)

Nakutakia Baraka, Amani, Imani, Na Upendo Kila sehemu ya maisha yako.

 

Previous KWA NINI WATU HUJIHISI KUPOTEA MAHALI KATIKA MAISHA
Next NJIA 11 ZA AFYA KWA AJILI YA KUTULIZA WASIWASI WAKO

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.