KUFANYA KITU USICHOKIPENDA( LAKINI UNAFANYA HATA HIVYO)


confucius140908 KUFANYA KITU USICHOKIPENDA( LAKINI UNAFANYA HATA HIVYO)

Unahisi kama kazi zako zimepotea bure?  Umekuwa kama uko nyuma na wengine, na unaona kama huwezi kumaliza kazi ulizonazo, Unahisi kuelemewa  na kuchanganyikiwa?  Wengi tumekuwepo katika hali hio na tumepoteza  na kuanza upya, kwa hio usihofu

Pamoja na kwamba kuna watu wanasafiri mara nyingi kwa ajili ya kukamilisha miradi yao mingi. Watu wengi wamekuwa wakifanya kazi ambazo hawafurahii. Uzalishaji wako na furaha yako haitakamilika kama hutaweza kufanya kitu ambacho unakipenda. Kazi hizi huchukua si mrefu zaidi ya dakika chache kukamilika, lakini zinaweza kukuletea mlima wa kutokamilisha. Haitakiwi kuwa hivi.

Kila kazi inayofurahisha inahusika na kuvuta hali ya kuepuka.

Pamoja na hali ya  kupoteza kazi zako, Bado unahitaji kazi za kufanya. Kuwa na maono negative  itasababisha  kushindwa. Badala ya kufikiria kama umepoteza, fikiria kuwa unazo kwa kumshukuru Mungu wako. Hata kama utasikia kuna mzigo unakuzidia.

Fahamu kuwa kuanguka si mwisho wa maisha, kujiona kuwa umepitwa na wakati sio mwisho wa kila kitu, na kujibu emails zako ndio kutakuletea majibu ya kazi mpya utakayoipenda.

Tambua kuwa wewe ni mzalishaji mzuri, una afya nzuri,  na furaha ulionayo pamoja na kutunza  kazi zako.

Kumaliza kazi sio kuhisi kama kufanya kazi, panga mipango yako kwa kutumia mbinu za mafanikio.

Balance siku yako

Tumia mbinu za kuongeza muda bila ya kujiumiza wewe mwenyewe. Anza na kumaliza kazi ambazo umejipangia, lakini usiweke matarajio ya kufanikisha kila kitu. Fanya kazi moja baada ya nyingine na kupata muda wa kupumzika kati ya kazi na kazi.Asilimia 75 ya kazi zako zote na asilimia 25 zilizobaki ni za kupumzika.

Make  routine tasks  automatic

Rahisisha kazi zako. maliza kazi kwa mpangilio,jipongeza unapomaliza na unapokwama omba msaada.

Kazi ni mbaya unapokuwa nayo, lakini ukiwa huna kazi ndipo utaona uzuri wake.  Fanya kazi hata hivyo ni muhimu kufanya kazi.

Previous KWA NINI WEWE NA MWENZA WAKO MSIONGEE LUGHA MOJA YA MAPENZI
Next KUMSAHAU EX WAKO SIO RAHISI, LAKINI HAPA KUNA WAZO AMBALO LITAKUONGOZA UWEZE KUPITA SALAMA.

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.