Lugha Ipi Ya Mapenzi Inayokufaa? Na Mwenza Wako je?


Overhead portrait of young couple lying on picnic blanket on opposite sides

Utajuaje Lugha  ya mapenzi inayomfaa mwenza wako?  Kila mtu hupendelea kitu tofauti.

dating-couples-h-6 Lugha Ipi Ya Mapenzi Inayokufaa? Na Mwenza Wako je?
furaha yao

 

Moja ya furaha ambayo nilikuwa nikiitafuta maishani, ni kwamba mimi sio kama watu wote wanavyofikiri. Nilikuwa nikijua kuwa mimi ni zaidi ya watu wengine, na ni chini ya wengine kuliko ninavyofikiri.

Nilikuwa napigania kutoka mahali fulani ili nifike ninakotamani kufika.  Nikatambua kuwa wapo watu wengi wanafikiri kama mimi.  Wanahangaika kuliko mimi. lakini sikujua jinsi gani kila mtu anajitafuta mwenyewe.

Kwa upande mwingine . ni rahisi kufikiri kuwa watu wako kama mimi lakini sio, mpaka hapo nilipoelewa.

Aina Tano Za Lugha za Mapenzi.

Watu huonyesha mapenzi kwa njia mbalimbali, kila mtu na njia yake, na watu hujisikia kupenda na kupendwa kwa njia tofauti tofauti. Mtu yeyote anaweza kujisikia kupendwa pale tu mtu anapoonyesha lugha yake ya mapenzi. kama mapenzi yanaelezea lugha tofauti, Kwa hio  Upendo wa kweli haujawahi kupokelewa.couple Lugha Ipi Ya Mapenzi Inayokufaa? Na Mwenza Wako je?

 

Lugha hizi ni …

Ukiri wa Maneno

Thamani Ya Muda na Nafasi

Kupokea Zawadi

Mguso wa mwili.

Kama mmoja anapenda na kujisikia kuhudumiwa vizuri na mwingine anapenda  kupewa Muda tu , basi kutakuwa na shida mahali.

Ni vizuri kufahamu mwenza wako anapenda  lugha ipi ya mapenzi, vinginevyo hata kama ukaonyesha kiwango kikubwa cha upendo kama hujagusa anachohitaji ni kazi bure, hawezi kujisikia kupendwa.

dating-couples-h-2 Lugha Ipi Ya Mapenzi Inayokufaa? Na Mwenza Wako je?
Intimate couple laying on bed

Unawezaje kujua lugha ya mpenzi wako? Jiulize swali Kitu gani mwenza wako huwa analalamikia? Anathamini nini? hamtumii muda kwa pamoja , hamtembei  pamoja. kama mwenza anapenda zawadi kubwa halafu wewe kila siku unapeleka pipi, hamtaelewana.

Jiulize utawezaje kuonyesha upendo wako? lakini pia ni kitu gani kinampa mwenza wangu furaha? lazima ukielezee unachokipenda  ili mwenzako akijue.

Mwingine anaweza kusema kwake yeye lugha ya mapenzi huja  yenyewe, sihitaji mguso wala kutumia pesa ili kupata zawadi, kwa jinsi hio lugha yako haitaeleweka.

Jaribu aina zote tano ili ujitambue uko kwenye ipi.

Kutafuta maarifa ni kutafuta Furaha. na ninafikiri njia hii  itasaidia mahusiano kupona kwa haraka. Kila mtu ajifahamu mwenyewe vizuri, na mwenza wake, na hata nje ya mapenzi. ni vizuri kufahamu upande wa pili wanafikiri kitu gani.

Maisha yanakuwa rahisi kama ukiwa na ufahamu huu. mahusiano hayatakuwa mzigo kwako.

Kama unapenda makala zangu,   Subscribe.

kila ninapotuma utapata.

 

Previous Kitu Gani Unachokipenda Umekificha Kuhusu Mwenza Wako?
Next Njia 10 Za Kudumisha Upengo Milele

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.