MAMBO 8 YANAYOTATIZA WANAUME KIAFYA. KATIKA TENDO LA NDOA:


 

images-7-1 MAMBO 8 YANAYOTATIZA WANAUME KIAFYA. KATIKA  TENDO LA NDOA:

Kuna maswali mengi huulizwa na wanaume  kuhusiana na afya zao, hasa katika kujamiiana na wenzi wao. lakini nimekuwa nikisikiliza mazungumzo yao mengi,na nikawa na mshangao sana kusikia historia mbalimbali za maisha yao. ni sahihi kabisa . nimeona tushee mambo 8 hapa  kuhusiana na wao.

1.WANASEMA KUWA WAKATI MWINGINE HAWAWEZI KUSIMAMISHA .

HILI NI TATIZO
Dalili hii ni mbaya tena ni kubwa sana  ukiona hivyo wewe mwanaume mwone dactari wako kwa ajili ya kucheki afya yako, inaweza kuwa ni matatizo ya kisukari,blood pressure, magonjwa ya moyona mishipa ya damu. magonjwa haya husababisha  kuharibika kwa ubongo wako, akili yako, mishipa yako isifanye kazi vizuri,hisia zako hupotea,misuli na homoni haziwezi kufanya kazi ipasavyo.
2. NGUO ZA KUBANA ZINAUA  MBEGU

Inashauriwa kuwa mwanaume usivae nguo za kubana , nguo za ndani ambazo zimebana zinaharibu utengenezaji wa mbegu  . ingawa hakuna uhusiano wowote kati ya  aina za nguo za ndani , kama una mazoea ya kuvaa nguo za kubana  badilika sasa , anza kuvaa nguo ambayo ina nafasi ili kuruhusu  hewa na kumaintain utengenezaji wa  homoni zako na  ufanyaji wake wa kazi.

3.CANCER YA MATITI.

Wanaume wanaelewa kuwa wao hawana matiti, kwa hio hawawezi kupata cancer ya matiti, lakini nilisoma taarifa moja ya Amerika insema kuwa kati ya wanaume 3250 waliopima, na kila wanaume 1000 kati yao  ni 1 tu aligundulika na hilo tatizo . kwanini ? kwa sababu wanaume wengine nao wanauwezo wa kupata hilo tatizo , wapo wenye homoni za kutoka matiti.

hatari wanazopata wanaume  ni  saratani ya titi, ambayo hutokana na kurithi kwenye familia, unywaji wa pombe ,magonjwa ya ini na magonjwa ya kurithi.

4.NI VITU GANI VINAONGEZA UUME KUWA  MKUBWA.

best-foods-for-mens-health-01-722x406 MAMBO 8 YANAYOTATIZA WANAUME KIAFYA. KATIKA  TENDO LA NDOA:

Kuongezeka kwa uume wako inatokana na style ya maisha yako katika  ulaji wa vyakula. badilisha aina ya ulaji wako utaona mabadiliko,  acha pombe, acha uvutaji wa sigara, mawazo mabaya yanayotokana na mlundikano wa maisha. kula vyakula vya asili kila siku, fanya mazoezi  yakusaidia kuimarisha  ukuaji wako, pia uwe na muda wa kupumzika.

usitumie madawa , acha kutumia viagra, wewe ndio viagra kula tu vizuri.

5.SARATANI YA KIBOFU CHA MKOJO; NA SASA KUNA TEZI DUME.

Ni magonjwa yanayoua wanaume kwa wingi sana , na hasa ule wa saratani ya mapafu, hii ni kwa wanaume na wanawake inua kuliko hata saratani ya kibofu cha mkojo. ni vizuri kuwa na tabia ya kucheki afya mara kwa mara .

6.WANAUME AMBAO WAPO KWENYE MAHUSIANO HAWAHITAJI KUJICHUA.

Kwa kawaida kama mwanaume anaridhika hawezi kujichua, lakini kama haridhiki na mpenzi wake atajichua  kwasababu anahitaji kurelax, labda kutokana na  wasiwasi wa kukosa pesa au mambo hayakwenda vizuri,anafanya hivyo ili kujisaidia kupata usingizi vizuri. lakini kama anaridhika hana sababu ya kufanya masterbation. lakini wataalamu wanasema kuwa kuna faida zake na hasara zake zipo.

7. WANAUME HUANZA KUFIKA KILELENI  PINDI WANAPOFIKIA UMRI WA MIAKA 18

Umri huu ndio unaoanza kuwa na nguvu zaidi ya kufanya tendo lsa ndoa kuliko  wenye umri mkubwa.lakini huwa hawana mpangilio wao ni wakati wowote kwa sababu ya uwezo wao . lakini ukifikia miaka 30 na kuendelea nguvu huanza kupungua kamas hukuwa na  adabu ya maisha .usipojitunza vizuri utamaliza nguvu zako pasipo na faida .

8.BAADHI YA  WANAUME HUPATA MZIO BAADA YA KUJAMIIANA.

Yathibitika_ Baadhi ya wanaume hupata mzio (allergy) baada ya kujamiiana_! _ JamiiForums _ The Home of Great Thinkers

kuna wanaume wana Allergy lakini hawajitambui kama ni allergy, kwa kuwa kila wakimaliza tu kujamiiana hupata mafua . angalia endapo yeye huwa anafanya mara tatu nne kwa wiki basi huwa na mafua siku zote.na pia wanaume wa namna hii hutoka jasho sana wakati wa shughuli hio

na hii inatokea tu mara baada ya kumaliza, kwa sababu kila anapofika kileleni homoni kadhaa huwa zinaiingia kwenye mfumo wa fahamu. sasa inwezekana kabisa kuwa wanaume hao hupata mzio kutoka kwenye homoni hizo.

 

maoni yako ni ya muhimu , karibu uchangie topic hii.

 

 

 

 

 

Previous VITU 10 VYA KUONGELEA UKIWA NA GIRLFRIEND WAKO:
Next NGUZO 6 ZA KUJITENGENEZEA HESHIMA.

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.