MASWALI 54 YA KUJARIBU UGUMU WA UBONGO NA KUJUA WEREVU WA WATU WAZIMA:


Dude-Thinking-Hard-SIZED-1024x680 MASWALI 54 YA KUJARIBU UGUMU WA UBONGO NA KUJUA WEREVU WA WATU WAZIMA:

Inafuraisha sana kama ubongo mgumu unaweza maswali, ni kusudi la msingi ili kufanyia mazoezi ubongo na kuutunza uwe imara.

Ugumu wa ubongo  sio ule wenye maendeleo ya kukua, umekuwa pale kwa karne sasa, unakuja kawaida ya maswali na majibu na ni maswali  ambayo sio ya kawaida  na yanachukuliwa  hivyo sio kawaida isiomfanya mtu kufikiri pasipo akikawaida ili kujibu. Majibu mengine ni ya akili, mengine ni ya kuudhi tu ni kama ya kijinga. Lakini  utyafurahia.

Hapa kuna mifano mizuri ya maswali ya ubongo uliokomaa, hasa inawahusi watu wazima.

1.Swali..Amina na Hasana wamekutwa wamekufa   juu ya floor wamezungukwa na maji. Milango iko wazi, na upepo mkali unavuma  na kupeperusha mapazia. Wamekufaje.?

Jibu. Amina na Hasani walikuwa  samaki wa dhahabu, upepo umefunika bakuli lao lote na kuwaua!

2.swali.Kipi kisafiri kwa haraka,?baridi au joto?

Jibu. joto linasafiri haraka kwa sababu linaweza kushika baridi.

3.swali.Arnold Schwarzenegger analo moja refu,ichael J,Fox anamoja fupi. Madona  hatumii la kwake.Bill Clinton mara zote hutumia.Pop kamwe hatumii la kwake.Ni kitu gani hicho.

Jibu. Jina la ukoo.

4.Swali. Kwanza hutupa ya nje na kupika ya ndani, halafu nakula ya nje na kutupa la ndani.Nimekula nini?

Jibu . mahandi

5.swali. Mwanaume alitapeliwa  ndani ya chuma kisicho na mwanga kina madirisha mawili tu. moja liko  kwa ajili ya joka kutolea pumzi zake za moto, wakati lingin linaelekea chumba kilichotengenezwa na vioo ni kwa ajili ya yeyote atakaepita pale wamuone. Alitorokaje?

Jibu.Atasubiri giza liingie halafu atatokea chumba cha vioo!

6.Swali.Ni nini kinafanya zaidi kwa kadri unavyochukua vyao?

Jibu.  ni hatua za miguu.

7.Swali. Umeshikiliwa sehemu ya jangwani,  wakati unapogundua  kibanda  kinaganda  kwa nje na unacho tu  kiberiti kimoja, mshumaa mmoja,  na gazeti moja na  kuna baadhi ya matawi..Utawasha nini cha kwanza.

Jibu  njiti ya kiberiti  bila shaka.

8.Swali.  Kijana anatembea na dactari barabarani. Mvulana wakati huo ni mtoto wa dactari.  Doctor sio baba yake kijana.Wakati huo Dactari ni nani?

Jibu. dactari ni mama wa kijana.

9.Swali. Kitu gani unaweza kukishikilia bila ya kukigusa, au kutumia mikono yako?

Jibu. pumzi zako.

depression MASWALI 54 YA KUJARIBU UGUMU WA UBONGO NA KUJUA WEREVU WA WATU WAZIMA:

10.Swali. Mimi ni mwanzo wa masikitiko na ni mwisho wa magonjwa.huwezi kuelezea furaha bila mimi bado mimi niko katikati ya misalaba. Mara nyingi  kati ya hatari bado  sio kwenye hatari. Unaweza kunipata juani lakini sio kwenye giza. Mimi ni nani?

Jibu.Herufi S

11.SWALI.Ni upande upi busi linaelekea  na kwa nini? Kushoto au kulia ndio jibu linalowezekana?

Jibu.Basi linaelekea kushoto, ili tuweze kuona mlango wa kupanda.!

12.Swali.Namba 8,549,176,320 ni  namba za kipekee. Unaweza kuniambia kwa nini ni za muhimu sana.

Jibu .hizi ni namba pekee zilizokusanya  mpangilio wote wa tarakimu za alphabeti .

13.Swali. Unapokuwa na mimi unajisikia kunishirikisha haraka. Lakini  ukinishirikisha  huwi na mimi tena.

Jibu.  Siri.

14.Swali. Kitu gani kina mdomo lakini hakiwezi kula, ni kitu gani kinatembea lakini hakina miguu na kitu gani kina  benki  lakini hakiweki pesa ndani yake?

Jibu.Mto.

15.Swali. Wakati gani unaweza kuongeza kumi na moja  na kupata moja kama jibu sahihi?

Jibu. wakati unapojumlisha masaa mawili kufikia saa kumi na moja kamili. Unapata   moja kamili.

16.Swali.Mwanaume alijilaumu mpaka  kufikia kutaka kufa,  akapata wazo la  kucagua vyumba vilivyotajwa vitatu,  chumba cha kwanza kiliwashwa moto ,  cha pili kilikuwa na mwanajeshi alibeba silaha zote, na cha tatu kilikuwa na simba ambao walikuwa na njaa  ya mwaka. Atachagua chumba kipi?

Jibu.Chumba cha tatu kwa sababu simba wana njaa ya miaka mingi watakuwa wafu.

17 swali.Kulikuwa na nyumba ya kijani, ndani ya nyumba ya kijani kuna nyumba nyeupe, ndani ya nyumba nyeupe kuna nyumba nyekundu, ndani ya nyumba nyekundu kuna kulikuwa na watoto wengi.Ni kitu gani.?

Jibu.Tikiti.

18.Swali. Aina gani ya chumba kisicho na madirisha wala milango?

Jibu. Uyoga.

19.Swali. Aina gani ya mti unaweza kubeba mkononi?

Jibu,Palm

20.Swali. Mwanaume  anasukuma gari lake barabarani wakati akiwa anaenda hotelini, anapiga kelele,’’ nimeishiwa’’. kwa nini?

Jibu alikuwa anacheza ukiritimba.

21.Kitu gani unaweza kushika lakini huezi kutupa?

Jibu. Baridi.

22.Swali. Ni kitu gani  kama mwanga kama manyoya, lakini hata   mwanaume mwenye nguvu ulimwenguni hakuweza kushikilia zaidi ya dakika?

Jibu. ni pumzi yake.

23.Swali.Ameoa wanawake wengi,lakini  kamwe hajawahi kuolewa. Ni nani huyo?

Jibu  Muhubiri.

24.Swali. Niondolee ngozi yangu sitalia,  lakini utalia wewe,!Mimi ni nani?

Jibu. kitunguu.

25.Swali. Fikiria uko ndani ya chumba cha giza. Utatokaje?

Jibu. Naacha kufikiria.

26.Swali.Kitu gani kina jicho moja lakini hakioni?

Jibu  Sindano.

27.Swali.Kitu gani kinakuja kila siku lakini hakijawahi kufika?

Jibu , Kesho.

28.Swali. Kipi kina uzito, poundi ya manyoya au poundi ya matofali?

Jibu. Inawezekana vyote viwe na uzito  wa poundi moja.

29.SWALI. Wasichana wawili walizaliwa mama  mmoja , kwa siku moja, kwa wakati mmoja, kwa  mwezi mmoja na mwaka mmoja. Na sio mapacha.  Itakuwaje hivyo?

Jibu  Watoto wawili  wamewekwa  wawili seti ya triplets

30.Swali. Msichana ambae alikuwa anajifunza kuendesha  alienda njia moja ya mtaani upande ambao sio sahihi , lakini hakuvunja sheria.  Inakujaje hivyo?

Jibu  Alikuwa anatembea.

Maswali mengi ya  kukomaza ubongo yatakuja ukurasa mwingine.

 

Previous WANAUME WANAOBAKA WATOTO WANASABABISHA MAUAJI.
Next WANAWAKE WALIOLALA NA WANAUME WA KIASI HIKI , UWEZEKANO WA TALAKA NI MKUBWA

1 Comment

  1. Avatar
    Albert Gervas
    January 15, 2019
    Reply

    Very nice, and interesting

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.