MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:


mapenziiiiiiii2 MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:

Mawasiliano hujenga mahusiano mazuri, bila hivyo kutakuwa na tofauti fulani kati ya wawili wapendanao .watu wengi wanaamini kuwasiliana kunajenga uhusiano mzuri,  hebu fikiria kama una rafiki yako  mnaopendana  hakutafuti  hata kama umekuwa mbali kwa muda mrefu , si inaboa sana?  nikupe mfano  mmoja , wanandoa wakiwa  pamoja nyumbani , siku hiyo wameamua wasiende mahali popote, unafikiri  wangekalia kufanya tendo la ndoa siku nzima? jibu ni hapana. lakini  wanakuwa na mawasiliano  ya aina yake ,

Hapa nakuletea maswali unayotakiwa kumuuliza  mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa  na watakuelewa. mwanaume  mwenye kukupenda atakuelewa.

MASWALI YA KUMUULIZA KIJANA UMPENDAE.

 

images-21 MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:

1.Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi   kufanya?

2.kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani?

3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako?

4.ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako?

5.kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu  ungechagua watu  wa jinsia gani wa kuwahudumia ?

6.umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike?

7.kabla ya mimi umewahi kuwa na nani?

8. je unaweza kukosa kitu unachokipenda  kwa ajili yangu?

9.kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe?

10.wewe ni wangu?

11.unampenda nani?

12. unaamini kama kuna mungu?

13.unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli?

14.Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu?

15.je unweza kukaa na mtu usiempenda?

16.Unajisikiaje unapokuwa na mimi?

17. Utamjuaje mchumba wa kweli?

18.Unatafuta kitu gani kwa msichana?

19.Utajielezeaje wewe mwenyewe?

20.je, utaweza kunielezea mimi?

21.Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo?

22.ni mzuri au ni mbaya?

23.umewahi kumwacha msichana?

24.umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya?

25.busu la kwanza kabisa ulimbusu nani?

26.ulifanikiwa?

27. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani.

28. Tamthilia ipi unaipenda?

29.Unapenda chakula gani?

30.unapenda rangi gani?

31.unapenda mziki gani ?

32.ukiwa mtoto ulikulia wapi?

33.Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto?

34. unashangilia timu gani ya mpira?

35.mwigizaji gani unamkubali sana duniani?

36. tamthilia ipi ni nzuri?

37.unawafurahia marafiki zangu?

38.unaipenda kazi yako?

39.unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako?

40.Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia?

MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA  UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI.

images-24 MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:

41.Ukipoteza  nguvu zako wakati wa usiku , je  ni kitu  kipi utanieleza ili niridhike?

42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi?

43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka?

44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili?

45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi?

46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto?

47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako?

48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi?

49.je una uzoefu gani katika mahusiano?

50.unaweza kuniambia vitu  vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto?

51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini?

52.Kuna siri yeyote hujaniambia?

53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano?

54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa  watoto wetu wafuate tabia zetu?

55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu?

56. umewahi kumpiga mtu kofi?

57.je wewe ni mkweli?

58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia?

60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia  utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu  ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki?

fuatilia maswali mengine mengi yatakuja.

toa maoni yako katika  maswali haya.

 

 

 

 

Previous PATA MAMBO 10 YA MAAMUZI 2016
Next TUMIA MUDA WAKO VIZURI:

27 Comments

 1. […] 1.maswali 60 ya kumuuliza  mpenzi wako , yanaweza kuwa ya kuchekesha na kufurahisha. […]

 2. Avatar
  March 24, 2016
  Reply

  Maswali nimeyapenda yanajenga na kufanya mahusiano yawe imara zaid na zaid

  • Avatar
   March 28, 2016
   Reply

   Asante sana Abdulrahim, endelea kufuatilia mafundisho yangu ili ufanikiwe zaidi katika mahusiano.

 3. Avatar
  gudy shao
  May 12, 2016
  Reply

  Maswal mazur san haya

 4. Avatar
  gudy shao
  May 12, 2016
  Reply

  Maswal mazur

 5. Avatar
  Deogratius Mziray
  July 31, 2016
  Reply

  Naamini maswali hayo yakizingatiwa mahusiano yatakua bora zaidi

 6. Avatar
  September 28, 2016
  Reply

  Comment:wow! thats nice

 7. Avatar
  lovie
  October 3, 2016
  Reply

  maswali mazur sana nimejifuza kitu hapo yanafanya majusiano yawe imara na msiborek mkiw wawil

 8. Avatar
  REMIGIUS CHILEWA
  October 21, 2016
  Reply

  Comment: DA MASWALI MAZURI

 9. Avatar
  October 22, 2016
  Reply

  Asante Remigius yazingatie

 10. Avatar
  November 6, 2016
  Reply

  Nmepnda kuona v2 vya msngi km hv asante sana mwamba

 11. Avatar
  November 8, 2016
  Reply

  Nimependa sana aya maswali good job best

  • Avatar
   November 9, 2016
   Reply

   Asante sana Rahim, endelea kuangalia chochote, kisha jifunze kila kitu kwa urahisi.

 12. Avatar
  November 18, 2016
  Reply

  Comment:kiukweli nimejifunza mengi sana kutokana na maswali haya.

  • Avatar
   November 19, 2016
   Reply

   Nashukuru Mediy good boy, zipo pia makala nzuri za kisaikolojia unaweza kujifunza ili kufungua ufahamu wako zaidi.

 13. Avatar
  Shah Abdul
  January 17, 2017
  Reply

  Comment:absolutely umeyafikiria yaan ni maswali ambayo matam af yana maana katika mahusiano

  • Avatar
   February 5, 2017
   Reply

   Nashukuru Shah, zipo makala nyingi nzuri , angalia kila kitu na usome unachoona kinakufaa wewe na kuwasaidia wengine pia.

 14. Avatar
  Freadrick chisanza
  February 22, 2017
  Reply

  Naiona furaha ndani ya uhusiano kupitia maswal hayo

  • Avatar
   February 22, 2017
   Reply

   Asante sana Freadrick Chisanza, fuatilia makala zingine za mahusiano ili kujenga mahusiano yenye afya zaidi.

 15. Avatar
  Godfrey Ndaile
  March 18, 2017
  Reply

  Comment:ziko poa sanaaaa

  • Avatar
   April 12, 2017
   Reply

   Asante Godfrey Ndaile. Ziko nyingi zingine unaweza kujifunza, endelea kufuatilia.

 16. Avatar
  Seth
  April 15, 2017
  Reply

  swadakta

 17. Avatar
  December 10, 2017
  Reply

  Nam ayo maswali nimeyapenda san

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.