MASWALI 55 NI KAMA VICHEKESHO NA YANAFURAHISHA:


UNGEPENDA?.

images-22 MASWALI 55  NI KAMA VICHEKESHO NA YANAFURAHISHA:

Maswali haya yanahusiana na uchaguzi, kati ya vitu viwili, hiki au kile. maswali mengi ni magumu hasta kuyajibu na wala usingetamani kuulizwa swali la namna hiyo, yapo ambayo hutaweza kuchagua hata moja . uchaguzi  uko sawa na kila kimoja kina thamani yake na tofauti yake.

Lakini sababu ni kujua kwa nini umechagua moja kati ya  mawili,hata hivyo maswali haya ya ungependa ni ya  vichekesho . nafikiri utayafurahia, sasa fuatana nami.

1.Ungependa kutoka na kutembea barabarani  uchi kabisa , maramoja tu  au  kulala  kulala mwaka mzima?

2.Ungependa kuwa mseng’enyaji kila wakati, au  usiongee kabisa?

3.Ungependa kuwa na nywele au upara mweupe?

4.Ungependa kuwa na furaha kwa masaa 8 tu kwa siku au masikini  kwa masaa 8 kwa siku na  tajiri?

5. Ungependa kuwa mtu asieonekana, au mtu ambae anasoma akili za watu?

6. Ungependa kuwa  mbaya halafu tajiri au masikini mwenye mwonekano mzuri?

7.Ungependa kuwa peke yako kisiwani au  kuwa na mtu ambae humpendi?

8.Ungependa kula sumu ufe au kuuliwa na nyuki wakali?

9.Ungependa kuishi na hasira  au kuchanganyikiwa maisha yako yote?

10.Ungependa kupata mapenzi ya kweli au  kupata dola  milioni kumi?

11.Ungependa kusahau  kabisa wewe ulikuwa nani ,au ni kama mtu yeyote tu?

12,Ungependa ukutwe unaimba na kucheka peke yako mbele ya kioo, au ukutwe unamchunguza   mtu ambae  unamtaka?

13.Ungependa kutengeneza maisha ya mtu ambae ameokoa  hali  maisha ya mtu, au kupata zawadi ya  kombe?

14.Ungependa kukutana na mgeni   mtembezi , au kwenda  kusafiri nje ya nchi?

15. Ungependa usitumie internet tena , au usiangalie Luninga kabisa.?

16.Ungependa usiwe unatumia simu, au e-mail?

17.Ungependa kuwa mtu mnong’onaji , au mpiga kelele.?

18.Ungependa kumiliki nyumba ya wageni, au  kuwa na camp  kubwa.?

19.Ungependa kuwepo kwenye chumba cha giza kinachotisha kwa siku, au kwenye kisima kirefu na nnge wengi.?

20.Ungependa kuwa na kengele  chini ya kidevu chako, au kuwa na mkia urefu wa nchi 5 unaozunguka kila ukiwa na furaha.?

21.Ungependa kunukia kama  harufu ya choo siku zote za maisha yako, au kunywa   uharisho wa milkshake.?

22.Ungependa kuoga maji ya  baridi yenye barafu wakati wote, au  kulala saa moja tu  usiku ,kuliko unavyiopendelea kulala.?

23.ungependa kupata  kicheko  kidogo cha kwanza , au kupata kicheko kikubwa cha mwisho.?

24.Ungependa muda wote uwe unsema  na watu kuhusu  na maisha yako, au kuwa kimya kabisa?

25.Ungependa kushindwa mchezo , au kutocheza kabisa?

26.Ungependa kuvaa vitu vya kuziba masikio mara zote, au  vitu vya kuziba pua?

27.Ungependa kusimamisha muda, au kupaa juu?

28.Ungependa kuwa mchezaji usiefahamika, au mchezaji maarufu unaejulikana?

29.Ungependa uzaliwe  ukiwa na   tembo truck au kama  shingo ya twiga?

30. Ungependa kulazimishwa kumwambia rafiki yako uongo, au kuwaambia ukweli wazazi wako?

31.Ungependa usahaulike, au uwe mtu unaechukiwa?

32.Ungependa kuacha  computer au   pesa inayolingana thamani  ya  hio?

33.Ungependa kwenye  makumbusho ya Taifa au kwenye mkusanyiko wa familia?

34.Ungependa kukaa bila luninga au bila ya chakula mwezi mzima?

35. Ungependa kuwa na nyumba nzuri halafu gari baya, au nyumba mbaya  halafu gari zuri?

36.Ungependa kufuga mbwa na  simba, au paka na chui?

37. Ungependa kuwa na vidole pungufu , au vidole vilivyozidi ?

38.Unge[penda uwe na uhakika wako wa muda, au  matarajio ya  uhakika ya miaka 10?

39.Ungependa ipatikane tiba ya Cancer , au tiba ya  Ukimwi?

40.Ungependa kumbusu   samaki mwenye shoti, au kumbusu kaa?

41.Ungependa kujua yote, au kuwa navyo vyote?

42.Ungependa kushinda mchezo wa kula chakula , au kukimbiza  matolori?

43.Ungependa kuwa na urefu wa futi 3,au urefu wa futi 8?

44.Ungependa kuwa na  urefu wa futi 3, au ufupi wa futi 3?

45, ungependa kuwa mzamiaji, mtu anaeenda kwenye  sayari ya mars?

46.Ungependa kupigana na Michael Tyson au kuongea kama yeye?

47.Ungependa kuwa kama nani, mama au baba?

48. Ungechagua nini, kufa au kuwa kipofu>

49.Ungependa kufa kwenye maji, au kuuawa na majambazi, ajali ?

50.Ungependa kuwa na kila kitu  cha kula kizuri   lakini mjinga, au kuwa na jicho moja tu?

51.Ungependa kuwa msichana au mvulana anayejulikana sana kwa muda wa miaka mitano tu, au kuwa na marafiki wazuri milele?

52.Ungependa kuwa malikia au mfalme wale wabaya wenye  kuua watu , au  kuwa mtu wa kawaida mtulivu?

53. ungependa  kujulikana  sana, au kuwa mtu smart?

54.Ungependa kujua  unakufa lini , au utakufaje?

55.Ungeamua kula panya alikufa , au mnyoo  unaoishi?

 

shirikisha familia na rafiki zako, pia unakaribishwa  kutoa maoni yako.

 

 

Previous JE, SEX INAKUSAIDIA KUPATA MAPENZI YA KWELI??..!
Next NJIA RAHISI 6 ZA KUKUWEZESHA KUPONA BAADHI YA MAGONJWA KIASILI.

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.