MAUMIVU MAKALI (MIGRAINE) HUJA KUTOKANA NA KUKOSEKANA VITAMINI MWILINI, WATAFITI WAMEGUNDUA :


migraine1-1 MAUMIVU MAKALI (MIGRAINE) HUJA KUTOKANA NA KUKOSEKANA VITAMINI MWILINI, WATAFITI WAMEGUNDUA :

Ni wale tu wenye migraine ndio wanaojua maumivu haya jinsi yanavyosumbua , kubaki na haya maumivu kwa miaka mingi, naweza kusema kwamba wanaosumbuka na  wanaumia sana.

Umejaribu kuangalia labda ni kwa sababu ya mwanga mkali, au kitu ambacho nakula, au ninachokunywa, au  ninachovuta kutoka na maumivu yeyote. Umejaribu kila dawa ya maumivu   na ukaona kuna baadhi zinasaidia wakati mwingine, na zingine sio,

Migraine inweza kutokea kwa namna yeyote ile,wengine wamezoea maumivu kidogo lakini mwanga unakuwa ni mkali unaumiza ., wengine hupata kizunguzungu na hawawezi kuona  maumivu hayo yanapokuja, wakati wengine wanapata maumivu makali ya moja kwa moja  ya kichwa.

Na mara yanapofika hutupa hata kitu ambacho alikuwa anakula, pamoja na matibabu ya migraine , huenda njia ,  migraine haina uzoefu hata kidogo. Na watu wanaosumbuliwa na hili tatizo wamekuwa wakitafuta  dawa au tiba kabisa

Wanasayansi wamegundua kuwa kitu kinachosababisha migraine ni ukosefu wa vitamini , ni moja ya chanzo kikubwa cha maumivu hayo. Na yafuatayo ndio ambayo unatakiwa kuyafahamu.

Upungufu Wa Vitamini Unaosababisha Maigraines

Wagunduzi wengi hivi karibuni,  wanasayansi waliona   kwamba,  watoto chini ya miaka 18, na wale walio zaidi ya miaka 18 ambao wanasumbuliwa na migraine  wote  walikuwa hawana kabisa vitamini D , Kukosekana kwa vitamini hio  inweza kusababisha  magonjwa ya akili pamoja na kuharibika kwa nerves.

Watu wengi hawapati vitamini D ya kutosha. Na katika ugunduzi huu, waligundua kuwa wengi waliokuwa wanasumbuliwa na migraine ni  wavulana na wanaume wadogo  ndio walionekana kuwa hawana vitamini D, wanawake  wadogo na wasichana walikosa  kitu kinaitwa coenzyme Q 10, ambacho kinazalisha nguvu ya kutoa  na kukuza cell. Tangu madactari na  wanasayansi wakose  kitu kinachosababisha migraine, bado kuna maswali mengi kutokana na hilo.na hata mafunzo mengine pia .  lakini  watu wamegendua tiba ya migraine.

NINI CHA KUFANYA.

Kabla hujatumia dawa yoyote. Ni muhimu kumwona Dactari wako. Hata kama vitamini ni  za natural, bado zinaweza kuleta reactions kwa matibabu mengine unayoweza kupata . kwa hio ongea na dactari kuhusu tatizo lako,. Unaweza kucheki  damu yako  kuwa umekosa vitamini gani mwilini, Mara utakapopata majibu, utaamua  utaendelea na nini , na vipi.

Hakikisha unamuuliza dactari namba sahihi ya  damu yako, kwa sababu  mara mnyingi madactari wanaweza kukuambia namba ya damu yako iko sawa., lakini   hio normal  inweza kuwa ni tatizo la uchaguzi. Kama uko kwenye Normal range.

Lakini  upande wa  chini, unaweza kumuuliza Dactari kama ukitumia hivi Virutubisho vya vitamini  kwa muda  vitaumiza.. Kama Dactari atakupa  green light, jaribu kutumia vidonge vya virutubisho   wakati unapokutana na yale maumivu na uone kama ni matokeo madogo  ya migraine itapungua au la.

Utafanyaje Endapo Havijafanya Kazi.

Tangu Migraine imekuwa   tofauti tofauti, ni hekima  kufuatilia  vitu vingine vinavyosababisha  migraine. Wakati virutubisho vya vitamini vinaweza kusaidia, vinaweza visiondoe kabisa maumivu yako, kwa sababu migraine yako inaweza kuwa inatokana na vyanzo vingi zaidi ya moja. Inaweza kuwa inasababishwa na

Mabadiliko ya hali ya hewa.

Kukua kwa Hormones katika  nyama.

Dairy product.

Caffeine

Stress.

Hulali vizuri

Mzunguko wa Hedhi.

Pombe.

Nitrates

Harufu, marashi mbalimbali

Na mengine mengi.

Unapojaribu virutubisho vya vitamini, Andika kwenye Diary na chunguza kila kitu unachokula, fuatilia kila siku,na vyote unavyokunywa pia , mabadiliko ya hali ya hewa, mahali pa kulala,  kiasi cha godoro, na kila kitu unachofikiri kina weza kuleta maumivu  ya migraine.  Tunza hayo angalau kwa mwezi , na unawezaa kupeleka kwa  Tabibu wako kwa ajili ya kuongelea matibabu yako.

 

Umependa makala hii? shirikisha marafiki na familia yako.

 

Previous PARACHICHI, CHOCOLATE, NA VINGINE 7 BORA UNATAKIWA UVITUMIE ZAIDI:
Next NI MAMBO YA KUSHANGAZA KABISA KWENYE UBONGO UNAPOKUMBATIA NA KUKUMBATIWA ;

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.