NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE


christmas-and-new-year-wishes-messages-1024x622-1024x622 NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

RAIS JOHN POMBE  MAGUFULI AKIWA KATIKA MISA YA CHRISMASI

1wwvghqnb-1 NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

MISA YA MOJA KWA MOJA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM.

bn3 NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WOTE

Mungu alitupenda sisi akamtuma mwanae kupitia Mariamu.

Nimejifunza kutoka kwa mariamu kuhusu na maisha yetu  ya kuwa siri zetu  au mambo yetu tunatakiwa kujua ni nani wa kumwambia , si kila mtu wa kumweleza jambo lako.Mariamu alipopewa habari ya kuwa atazaa mwana nae atamwita YESU, Alitaka kumweleza mtu habari hio , lakini  alifikiri kwanza , ndipo alipoamua kwenda kwa Elizabeth ambae ni jamaa yake.

Si kila mtu wa kumweleza jambo lako  .

Previous VIFAHAMU VYAKULA 5VINAVYOSAIDIA KUWEKA SAWA HOMONI:
Next NI MAUMIVU MAKALI YA KUACHWA NA MWANAUME:

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.