RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.


friends-love RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Nashukuru, Lakini Hapana.

Kama uko single lakini unahitaji mtu wa kuwa nae, wakati mwingine  utapata  rafiki ambae huhitaji kupata faida  inaweza kuwa ni jibu  la muda lililo sahihi.  Kuna kitu unachopata kilicho  bora kwake na pia utakuwa unapata hitaji lako kwa muda unaopanga  bila kuwa na stress za kutafuta mtu wa kutoka  nae

Lakini pia kuwa na rafiki mwenye kutaka faida  sio lazima vitu vyote viwe sawa, mkwaruzano utakuwepo.Usinikoti, inawezekana, nafikiri, kama hutakuwa umerogwa na kuwekewa limbwata, lakini kama ilikuwa ni kuhitaji faida,  kwa nini bado unahitaji kubaki na mtu anaetaka kujinufaisha mwenyewe? Kwa pesa zangu,  kupata rafiki wa kutaka faida kila mara, mara kwa mara, mara kwa mara  utajipeleka kwenye  maumivu ya moyo  , na hapa  nakuonyesha kwa nini.

1.Kuwa Na Rafiki Mwenye Kujinufaisha Atakuondoa Kwenye Mahusiano Halisi.

images-11 RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Kama wewe ni mtu mwenye kazi nyingi,  unafanya kazi siku nzima na kuzidiwa na majukumu ,  ukiwa na rafiki mpenda faida itakuwia ugumu kupata  mtu  halisi wa maisha yako. Ni kama kila ukirudi kutoka kazini  unakuwa unafahamu kuwa una kila kitu kwenye friji  ambacho utahitaji kutengenezea  dinner, lakini pia  unafahamu kuwa  kuna haraka na urahisi  wa kupasha pizza kwenye microwave  iliyokuwa kwenye  freezer.  Utakuwa unakwenda kwa ajili ya pizza muda wote  unaohitaji , na kwa vile  utalipia  gharama.

2.Rafiki Anaetafuta Faida  Binafsi Sio Rafiki Wa Kweli.

1445641459-1439453210-relationshipproblems RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Unapolala na mtu  mara kwa mara, hata kama  ni rafiki mpenda kujinufaisha,  utakuja kujisikia kama  umetulia nae,  huu utulivu  utakuwa   wa udanganyifu. Ni kawaida kurudi kwa rafiki anaependa kujinufaisha  mwenyewe kwa ajili ya kupitisha siku yako. Au mipango yako ya mwisho wa wiki. Lakini  hio sio  namna ambavyo   mahusiano ya rafiki mpenda kujinufaisha mwenyewe  yanavyokuwa. Utajitengeneza  uchungu wa moyo kama  utafikiria vinginevyo.

3.Ni Utata Wa Bio-Kemikali.

large-4_14 RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Okay, sifahamu , ni kiasi gani  nakubaliana nacho binafsi, lakini inafaa kushirikiana. Unapofanya sex na mtu fulani,  mwili wako huwa unatoa  kemikali ya oxytocin. Moja ya  mambo mengi ya kemikali hii  inayofanya ni  kukufanya ujisikie umejiunganisha na huyo mwenza.,kiakili, lakini pia unaweza ukajisikia huna  mawasiliano yoyote kwa mwenza wako, lakini  msingi wa biokemikali utakuwepo kwako  utaweza kuumia  kama utasitisha huo urafiki.lakini unapogundua tu kwamba  rafiki yako  ni mtu wa kujinufaisha inabidi uandae moyo wako mapema. Hapa ndipo hio biokemikali haitakuumiza.

4.Kuna Sababu  Inayowafanya  Msiwiane,( Msifanane)

140296927 RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Kwa kadri mnavyofurahia kulala pamoja na kadri mnayvozidi kuwa pamoja, iko sababu kuwa yeye ni rafiki anaependa kujinufaisha binafsi na sio rafiki wa kweli. Kama alikuwa ni boyfriend material  ungemwangusha mapema, lakini hukuamua kufanya hivyo. Ina maana kwamba  nyie wawili mna misingi tofauti ambayo ingewafanya kupigana na hata kuvunjana moyo.

5.Kuwa Rafiki Wa Kujinufaisha Binafsi , Mara Nyingi  Unafikia Kikomo.

Master-P-Ft.-Kirko-Bangz-Friends-With-Benefits-Official-Video RAFIKI ANAEKUJA KWAKO KWA AJILI YA KUTAKA FAIDA YAKE BINAFSI, ATAKUVUNJA MOYO.

Moja ya jambo kubwa linalohusiana na urafiki wa kujinufaisha  ni moja ya mambo yanayokuwa magumu sana. Ni mahusiano yenye uhakika wa kikomo. Maisha hubadilika,  watu huendelea,   unapoanzisha urafiki ambao  unaelewa huna future ya kweli ,  na unakumbatia  kwamba  itakuletea furaha. Lakini kama rafiki yako ni mtu wa kutaka kujinufaisha  atakuwa ni kikuu katika maisha yako ,  kuwapoteza  itakuja kuwa ni  vigumu  kama kingine chochote  kupoteza kwa  njia yake labda inabidi kutumika njia mbadala..

toa maoni yako katika makala  hii

 

Previous NITAMSAMEHE VIPI MTU ALIENISALITI NA KUNIUMIZA MOYO WANGU.
Next FUATA TUNDA LENYE FAIDA KWAKO.

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.