Siri Kubwa Za Mafanikio Kwenye Ndoa, Mapenzi, Kazi, Biashara


 

Jifunze Sheria Za Muda.zipo sheria nyingi lakini leo nakuletea baadhi tu kati ya sheria hizo.

Ukithamini muda utayathamini maisha yako. Huwezi kumpendeza Mungu kama unatumia Muda Vibaya. Dhambi nyingi zinatendeka kwenye Muda .

Mafanikio yako yatapatikana kwenye muda.Msingi wa thamani yako ni Muda.Amani ipo kwenye Muda.Muda una nguvu kuliko wewe. Watu ambao wanajua siri hii wamefanikiwa .Ukitaka utoke mahali ulipo jifunze sheria hizi za muda.

1.Ukitaka kuwa Tajiri tumia Muda wa mtu mwingine sio kutafuta pesa.

2.Akili ya Mwanadamu ina uwezo mkubwa , ina uwezo wa kubeba taarifa kuanzia  Dakika 45 na kuendelea .

3.Jifunze kuzihesabu siku zako sio miaka.  

kama una miaka 50, fahamu kuwa una siku  18,250.  kama una miaka 45 utakuwa na siku  16,425, miaka  40 ni siku 14,600, miaka 35 ni siku  12,775 tu,  miaka 30 ni siku 10,950 tu , miaka 25 ni siku  9125 tu, miaka 20 ni siku  7300 tu. sasa hapo kuna haja gani ya kujikatia tamaa.  fanya kazi kwa  bidii.

AdobeStock_107536883-760x439 Siri Kubwa Za Mafanikio Kwenye Ndoa, Mapenzi, Kazi, Biashara

4.Kila dakika tambua kuwa ina maana kubwa kwako.

5.Komboa Wakati. Usienende kama watu wasio na akili bali kama mtu mwenye Akili.

6.Kila kitu kina Muda wake.

7. Seed  time and Harvest. Mbegu, Muda  na mavuno

8.Kila kitu kimetengenezwa kwa kutumia Muda.  Tumia muda 

9.Utavuna ulichokipanda. 

Kuwa makini na unachoongea, unachotazama, unachosikia.

10.Muda ndio msaidizi wa Mungu. Kila unachokifanya unaangalia Muda.

11.Sifa kubwa ya Muda , Unakufa haraka .

12.Huwezi kuweka muda kama akiba kabatini

13.Utajiri na heshima viko kwenye Muda

14.Kumtumikia Mungu inalipa.

15.Aliye mwaminifu kwenye kidogo huwa mwaminifu kwenye kikubwa pia

16.Tumia Muda kumpenda Mungu na kuwapenda watu na kuipenda nafsi yako

17.Mungu ni Alpha na Omega

18.Dunia ina mwendo kasi.

19.Imani Ni Sasa. Sasa ni Muda

20.Miliki saa ya mkononi, ukutani, miliki kalenda

21. keep time

22.Be on time

23.Anza na muda

24.Fika kwa wakati

25.Maliza kwa muda

26.Mshukuru Mungu muda wote

27.Msifu Mungu

28.Mwabudu Mungu

29.Vumbua kazi ya Mungu aifanyayo ndani yako  Mwanzo hata mwisho. Muda.

30.Jifunze kuwepo mahali sahihi, Muda sahihi, watu sahihi  na jambo sahihi.

Subscribe kupata makala mpya.

Previous Jikung'ute Mavumbi Uondoke
Next Njia Rahisi Ya Kuondoa Tabia Mbaya Usizozipenda

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.