Posts in tag

hisia


Umri wa kubuni unaweza kuwa unajulikana zaidi kuliko umri wa kweli wa kuzaliwa. Hujawahi kudanganya  kuhusu umri wako? mimi nimewahi  tena mara nyingi . Hata kwako jibu litakuwa Ndio. Na …

0 82

Kitu” kufanya mapenzi ” kawaida ni kitu kizuri na kinahitaji hisia ambazo ni positive. Kufanya mapenzi ni raha. sweet. caring, na upendo mzuri.

0 223

Kitu gani ni vitamini C Yako? Unahitaji nini?  Zoezi: Kuza Nguvu yako ya ndani. Kwa nini? 

0 61

Ninachoka pale watu wanapokata tamaa bila ya kupeana muda wa kusameheana. Kinachonichosha zaidi ni mtu kuamua kujinyonga kwa ajili ya kukataliwa. Nikiona hivyo naumia kwa sababu ya mtu ambaye amefungwa …

0 52

Wakati mwingine natamani kama shida zangu zisingekuwepo.  Natamani kama matatizo yangepotea mbali,  Wakati mwingine naona kama siwezi kuyaambia yaondoke.

0 68

1.Wanafahamu Umuhiumu wa mitazamo  mizuri. Ukiwa mtu wa mitazamo mizuri  hasa kwa kila kinachoendelea katika maisha yako, Kila unachovutia ni kizuri . Haushughuliki na mambo mabaya .Mtazamo wako ndio uchaguzi …

0 51

Ingawa hisia huwa zinashawishi  jinsi ya kupokea matukio na jinsi ya kufanya maamuzi,  watu wengi huchukua muda kidogo sana kuongelea kuhusu  hisia zao.

0 88

Hii ndio hasa mtu anapomaanisha wakati anaposema  Sijambo. Kwa mtu yeyote ambaye anasumbuliwa na tatizo lolote la kiafya au tatizo lingine,  mara nyingi huwa ni ngumu kujielezea  wanapoulizwa wanajisikiaje. Mawazo …

0 45

Wakati Ulimwengu unapolia ndani yako na kukuacha na mpasuko wa wema, wakati ambapo unaona ulimwengu haukufanyii haki, Nataka Ukumbuke hili kuwa, Unahitajika

0 68

Kuishi maisha mazuri , haitoshi kuondoa kila kilicho kibaya kwenye maisha  yako.  Mara zote kuna kitu fulani kina tatizo . Kawaida  ya  maisha yalivyo, kuna majira.

0 69