Posts in tag

MAPENZI


Mlango mkubwa wa kufaa sana umefunguliwa , Lakini kuna wanaokupinga ni wengi  sana.  Yesu anasema , Basi enendeni  mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi .

0 152

Kitu cha mwisho ambacho watu wanahitaji wakati wa mahojiano au migogoro ni  katika kuingiza Upendo,  joto la upendo.

0 134

Utafika wakati unajikuta mwenyewe nyumbani,  Usiku uko mwenyewe unapojifunika blanketi na kuweka akilini mwako kuwa uko alone.

0 112

Wapo watu unaowafahamu , wa kawaida na hata wale wanaojulikana , watu maarufu, wakati mwingine wanajikuta kupitia hali hii ya upweke na kujiona kama wametengwa.

0 145

Muda wowote familia  inapokutana na mwingiliano fulani  hubadilika.

0 81

Kuna wanawake ambao hupenda watu wawathibitishe , wawapende ili wajisikie kuwa na nguvu, 

0 178

Ufalme wa Mungu hupatikana kwa nguvu na wenye nguvu wauteka.  Omba usiku na asubuhi ili uweze kuona matokeo haraka.

0 243

Watu wengi wanafikiri  kwamba  maisha hayana fomula , sio kweli. Maisha yana fomula yake. Ukitaka uwe tofauti na ulivyo sasa, ni lazima uifahamu fomula ya maisha.

0 98

Msukumo wa kufikia hatima ya maisha yako ni  tumaini, Imani na Upendo. Lakini ni Upendo pekee una ukweli wa kuwezesha haya yote. 

0 100

Ukiona mtu amekuzidi kwa kitu chochote, tambua kuwa kuna kitiu amekiona ambacho wewe hukioni.

1 102