Posts in tag

tafakari


Najua uko busy. Wote tuko hivyo. Kuna bills za kulipia mahali kwingi, Kutazama watoto, Kuwapigia watu wa mauzo, kufanya order mbalimbali, kujibu emails, kutatua matatizo.

0 48

Hatuwezi kuishi bila Upendo. Tunabaki na upungufu  wetu  kama hatutakuwa na uzoefu wa kupenda. Tunahitaji upendo zaidi kuliko  hata hewa tunayoivuta. Bila hivyo. maisha yetu hayana maana. tunapoteza  ukaribu wa …

0 93

Mabadiliko yalio mepesi  kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka

0 110

Ni lazima Vinginevyo… Hata kama wewe ni mwanaume mwenye kazi nyingi au mwenye tamaa ya mambo mengi, unaeshindwa kujidhibiti kwa kuwa na mpenzi mmoja. Au mwanamke una mume mwenye macho …

0 80

Miaka mingi iliopita nilikosa matumaini ya kuishi  kutoka na afya yangu, nilipimwa na kuonekana  na tatizo la moyo mkubwa.

0 86

Ni pale unapoanza kujiuliza nitakula nini wakati huu , nina njaa  na sio wakati wa kula. Unapoona baadhi ya vitafuno  unatakiwa kuchagua kwa hekima.

0 213

Wachunguzi wamegundua kuwa kati ya watu wanne mmoja ana tatizo la akili katika moja ya  vitu vya  maisha yake. Ingawa bado tunajitahidi kujiboresha wenyewe kimwili.

0 45

Nilipokuwa mdogo, niliona kituko fulani vitu vidogo kwenda vibaya. Sijui ni kwa nini  nilikuwa na mawazo haya., lakini nilikuwa na wasiwasi mkubwa mno muda wote .Nilipatwa na ugonjwa mbaya wa …

0 58

Siku unapogundua una mimba , nafikiri huwa ni siku ya furaha hasa kwa wale wanaodhamiria kupata mtoto .  lakini hata wale ambao huwa mimba zinatungwa bila ya maamuzi yao.

0 90

Kwa mahitaji ya kiroho kwa wakubwa na kwako mwenyewe. Katika huduma ya utunzaji  tunaotoa nyumbani , Sifikiri kuwa kuna uwezekano wa kukadiria zaidi  kupitia dini au taarifa zaidi katika kuwatunza …

0 47