Unataka Uwe Na Umri Mzuri? Kuwa Na Maana Ya Kusudi Ni Muhimu


Smiling couple in garden
African-American-Couple-1024x683 Unataka Uwe Na Umri Mzuri? Kuwa Na Maana Ya Kusudi Ni Muhimu
Smiling couple in garden

Umewahi kuhisi kama ni ngumu kuweka afya yako vizuri, na unajikuta muda unapita haraka bila ya kutambua? hata mimi pia.  Hapa utafahamu kila kitu ambacho unataka kujua kuhusu,  Afya ya muhimu, kuishi vizuri, ushauri wa lishe. Ili uweze kuwa mtu mwenye afya na mwenye furaha.

Kama unaamka na maana ya kusudu na una lengo au  yote mawili katika akili yako, Wewe ni mtu mwenye bahati kubwa sana:  kulingana na watafiti wanavyosema , Upo kwenye kundi la watu wanaokua vizuri na umri wao ni mzuri wenye shukurani.

Kama unayo ratiba yako nzuri tangu unapoamka asubuhi unajua kitu cha kwanza ni kitu gani. Na hasa kama unaanza na Meditation kwa dakika 20. halafu mazoezi kidogo. na kujitahidi kula vizuri. vyakula vinavyokufaa kulingana na umri wako,

Utakuwa mwenye nguvu na utakuwa imara na uwezo wa kukua vizuri na mwenye afya.

OldCoupleWalking Unataka Uwe Na Umri Mzuri? Kuwa Na Maana Ya Kusudi Ni Muhimu

Watafiti wamesema kuwa kwa wale ambao  bado hawana maana kamili ya kusudi lao , afya yao kwa ujumla haitakuwa nzuri, na kwa sababu hio umri wao  utakuwa umepoteza nguvu  au uwezo  wa kujilinda. hawatakuwa na lengo la wazi  na hawana  nia ya kujiboresha.

Ukiwa upo kwenye maana ya kusudi lako na kama una umri wa kutosha , umri wa kati,  upo umuhimu wa kuboresha  kazi za mwili  kwa ajili ya kukua vizuri.

Kupata usingizi mzuri wa usiku , bila ya kurukwa na usingizi,  utapunguza matatizo  ya huzuni, misongo  , wasiwasi na woga wa kuingia umri mkubwa. ni vizuri  kupanga nia  na mawazo mazuri ya kufahamu kusudi lako ukiwa bado una nguvu.

Jichunguze ni wapi ambapo kuna tatizo, je ni katika mwili wako? Ni katika akili yako? au ni katika roho yako . kama hivi vyote viko sawa. Je ni kazi, mahusiano, au familia au jamii? kuwa makini kwa kila kitu . ili uweze kufanikiwa kuwa na umri mzuri na uishi kwa furaha katika maisha yako yote.

Previous Maswali 10 Ya Kukusaidia Kufahamu Kusudi Lako
Next Picha Haiwezi Kuonyesha Huzuni Ilivyo,Kwa Sababu Huzuni Ni Kitu Kisichoonekana

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.