Wanaume Wanajisikiaje Hasa Kuhusu Ngono


ATL_103_0386d-HP-1024x576 Wanaume Wanajisikiaje Hasa Kuhusu Ngono

Wakati tendo la  ndoa ni Upendo.

Nilifanikiwa kukaa na wanaume ambao walikuwa wakiongea kuhusu hisia zao  za ngono , maisha yao ya sex,  na jinsi wanavyoweza kufurahia.

Kusema kweli sijui ni jinsi gani hisia za wanaume zilivyo. Lakini nimeweza tu kubahatika  kusikia  mitazamo yao ya ngono katika mahusiano yao na , wakati huo huo kila mwanaume ana tofauti yake. Bila shaka, kuna mambo amboyo yanafanana au matukio ya kufanana.

Sex inaanzia kwenye mwili. Wakati wanawake inaanzia akilini  mwao.  kumbukumbu au hisia  za muunganiko , kwa wanaume , hamu  ya mwili.  Wanaume wana kiasi kikubwa cha testosterone zinazo sababishwa na miili yao.  Zinazowasukuma na kuwaendesha  kufikia hali ya kusimamisha uume . hii ni kwa ajili ya vijana . Na kwa ajili ya wanaume wakubwa  ambao wapo kwenye ndoa, wanapowaona wake zao wakitoka bafuni wakiwa uchi  viungo vyao hupata msisimko na  ndio hapo ambapo  kiungo hicho kinasimama.  Ni ngumu kuelezea jinsi mwili wake  unavyoungana moja kwa moja na  na akili kisaikolojia.

Kwa wanaume sex ni njaa.  Ni  steki na viazi— Ndio. Anataka kushiba. Lakini  hamu yake ya ngono ni kama hamu ya  chocolates. Kila anapofanya sex ni tofauti. inakuwa na ladha tofauti nzuri. kama cream laini,  au kama vile ina Kila kitu, yaani buttery rich. Huenda  kidogo ni tamu na chungu au kidogo mbichi, au Silky tamu. Akili yake imejazwa na  mshangao wa kila anapopata nafasi.  Siku  haishi vizuri bila ya  kiburudisho. Bado  Kuna kitu ambacho kinaweza kumtoa katika hali hio ni pale anapogombana na mwenza wake.

couple-smiles-92262414-cropped Wanaume Wanajisikiaje Hasa Kuhusu Ngono

Sex ni nguvu .  jinsia inaathiri  urafiki wa kimapenzi  ulio muhimu kwenye mahusiano na kukosa furaha. Nguvu ya homoni  inamwendesha na kumchokoza  kushawishi  maisha ya kusudi lake na kazi. na kumshawishi mwenza wake  kwa kila njia ili mwisho wa siku  asije akakosa  kupata  hitaji lake baada ya kazi nguvu ya siku nzima.

Sex ni furaha au msisimko. Ni maisha ya msisimko. mwili wake ni machine  yenye pressure kubwa , kitu ambacho hupenda  kufurahia  muda wote.  kwa sababu kiungo chake kinakuwa kipo vizuri  na kwa urahisi. Tofauti ya matendo yake , positions, and rhythms inaonekana ni  njia nzuri inayomwelezea  hamu yake. iwe ni shape, smile, image iwe  aina yoyote inasumbua ubongo wa mwanaume.  Mawazo yake yote kwenye ubongo humkumbusha kitu ambacho alikifanya  na kutamani tena.

Sex ni njia ya kutoa  Upendo kwake. Wakati mwanamke anapojiachilia kwake, mara nyingi ni wakati ambao mwanaume hufurahia sex zaidi kuliko wakati ambao mwanamke amelazimishwa. Wanaume wanaitwa ni watu ambao ni selfish, kwa sababu  wao wanapenda sex kuliko wanawake. japo wanawake nao wanapenda sex lakini sio kama wanaume. Kwenye mioyo yao kuna matarajio makubwa.  pressure ya mwili.  Mara nyingi hujiuliza jinsi gani ataweza kumfurahisha mwanamke. Huomba kujua  taarifa kamili  kuhusu hamu ya wanawake ilivyo ili aweze kuboresha  mapenzi yake.

Ngono ni Upendo. Sex humfanya  mwanaume ajisikie  yupo nyumbani .  Baada ya mambo mengi  ya Ulimwengu yaliomuumiza na kumpa changamoto.  Mapenzi atakayopata,  heshima atakayopewa, ukimjali na kumsaidia wakati anapofurahia tendo hilo. Wakati anaposhutumiwa , kitu kimoja tu anataka ni sex.  Wanaume wengi wanataka na kujisikia   kuungana zaidi kuliko akiwa na hisia hizo peke yake. Wanatamani  mwenza awe na hisia kama za kwake ili ajisikie vizuri. Hicho ndio kitu hasa hukitafuta mara nyingi.

Wakati wanawake wao huhitaji  kupata muunganiko huo kabla ya mwili kusikia kitu. kwa wanaume  muunganiko huo wa sex mara nyingi  ni muhimu na ni salama kwao  wakati wakiwa katika hali ya kutaka . Hatimaye wanaume wanaendeshwa na  jinsia zao  katika mahusiano ni zawadi yao— ni njia nyingine ya  kupenda.

Gundua leo katika mapenzi na sex ili  uweze kukabiliana na mifumo na changamoto zilizopo .

Washirikishe wengine kama umefaidika na makala hii .

Kisha Subscribe.

 

Previous Maumivu Na Mapenzi Huenda Pamoja?
Next Vitu Muhimu Katika Mawasiliano

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.