ZOEZI LA TAFAKARI LITAKUSAIDIA KUSHUGHULIKIA MABADILIKO


Under The Tree

UnderTheTree_1500 ZOEZI LA TAFAKARI LITAKUSAIDIA KUSHUGHULIKIA MABADILIKO

Wengi tunafikiria kufanya mabadiliko mbalimbali baadaya ya mwaka mpya, Lakini tumefungiwa zaidi na uzuri  katika kujikwaa, yua na bila ustadi.

Ingawa mabadiliko hayo  yatatufanya  tufahamu kuhusu njia ipi ya kupita, mabadiliko yamekuwepo yenyewe  katika  aina nyingi, rangi za vitu mbalimbali,  kufahamu kuhusu safari ya maisha yetu.

Mabadiliko haya yanatufundisha kujenga  nguvu yetu ya ndani. Mpangilio wa kuruhusu   hali ya kutokufahamu  kuwa kwenye hali ya kufahamu. Kujulisha kile ambacho hakijafundishwa  na kufundishwa upya kwa kutambua ujumbe unaotoka kwenye jamii, mila na mazingira ya familia.

Ujasiri huu unaweza kwenda ndani kabisa  kirahisi  na kuweza kutufanya tuzimie  kama tutatelekeza muda huu  mzuri sisi wenyewe kutoka kwenye hali mbaya  na bila ya kugundua  uzoefu mpya kwenye muda uliopo.

Katika Ulimwengu huu wa fujo , kitu hiki ukiendelea kukifanya  ni cha muhimu sana ,  inabidi kuwa makini  kucheki kila mara  ndani ya pumzi zetu na mawazo yetu, na hisia zetu, mazingira mapya yawe ni msukumo wa  kupata hekima ya  kutulinda . Lakini nguvu hii inaweza kufanya kazi zaidi ya tunavyofikiria.

Mabadiliko yanaweza kuja katika hali ya kutoridhika ndani ya packages zake.  Inaweza kutusababisha  tushindwe tusipokuwa makini katika uchunguzi na kusikiliza  ujumbe uliopo ndani ya mioyo yetu wenyewe na miili yetu.

Wengine ujumbe huonekana tumboni,  ambapo huathiri hali ya kula  na kufanya maamuzi yalio wazi. Kusikiliza mwili ni nguvu iliojificha. Kwa wale wenye mabadiliko yanayoonyesha tofauti na nilioorodhesha, wale wanaotafuta  kukamilika kiroho, kielimu,  kwenye kusudi, katika mahusiano, na  kujipenda wenyewe, waendelee kutafuta  muda unaowaonyesha  na kufanana na kupumua  katika nafasi hii mpya  ulio nayo.

Kuwa makini na mambo ambayo  ni  taarifa mbaya  kwenye akili yako yanayojaribu kukushirikisha. Hata hivyo woga ni mwalimu mkubwa,Mara tunapoamua kuishi maisha ya  kiradiradi ya kukubaliwa, huruma, na uwazi,  tunahitaji kuvitupilia mbali ndani ya nyumba zetu takatifu. Naamini katika ahadi.

Hapa kuna baadhi ya mazoezi ya kukusaidia kushughulikia  mabadiliko.

Tafuta mahali pa utulivu na utembee  kwa mwendo wa haraka. Tafuta mti unaoupenda  , fanya tathimini kwa ajili ya zawadi ya kawaida  wakati umekaa chini.

Taratibu funika macho yako, anza kuzuia pumzi yako ndani, kumbuka jinsi ulivyotoka ndani na kuona mwanga mzuri. Fikiria wewe mwenyewe kuwa ni mbegu ya asili.. Kumbuka  uwezo uliopata kufika hapo ulipo, hali ya hewa iliopo mahali hapo.

Pumua na kujilegeza kidogo, wakati huo umekaa vizuri bila ya kusumbuka. Rudi katika hali ya kawaida, fungua macho yako na utazame tena huo mti.

Kuna kitu gani kipya unapata kuhusu wakati huo, kitu gani umepata kuhusu hisia zako? Toa shukurani ya haraka  kwa hio hali ya asili na nguvu ya uwezo wa kupumua.

tumblr_static_53kvkj0qfmkgw4kwwokw88w48-1024x575 ZOEZI LA TAFAKARI LITAKUSAIDIA KUSHUGHULIKIA MABADILIKO

umependa hii makala ? shirikisha wengi wajifunze.

Previous UKWELI KUHUSU JINSI MWANAUME ANAVYOCHAGUA MWANAMKE WA KUOA
Next JINSI YA KUSHUGHULIKIA TAMAA,MASIKITIKO NA MAJUTO

No Comment

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.